JK akifanya mazoezi lakini....

Hii ilikua ni Hotel ya Ngurdoto mkoani Arusha!
551123_4065978006828_836462826_n.jpg
 
JK kumbe huwa anafanya mazoezi na tusisahau kuwa ni mwanajeshi

Tatizo ni hao wapambe wake na hasa huyo aliyevaa jeans..
551123_4065978006828_836462826_n.jpg

Kumbuka kuwa hapo anayefanya mazoezi ni mmoja, yaani Rais tu. Hao wengine wako kwenye kazi inayowapa mkate wao wa kila siku. Kama wakivaa track suit wote, watachomeka wapi Mhe. Rage ?
 
Kumbuka kuwa hapo anayefanya mazoezi ni mmoja, yaani Rais tu. Hao wengine wako kwenye kazi inayowapa mkate wao wa kila siku. Kama wakivaa track suit wote, watachomeka wapi Mhe. Rage ?

Yale matumbo makubwa ya nyuma yana kazi gani? Physical fitness ya mtu inajieleza bila kusimuliwa. Mwenye macho anaona tu. Kama wako kazini basi wanakalia uzoefu. Ikitokea ya kuruka na kulala, ujue Rais anawezaa kupoteza fahamu kwa ushuzi na kulia lia maana kumudu miili yao wenyewe ni issue.
 
mkuu Ndahani hii nimeichukua kwa mkuu jasusi....william kila akijipindua anamwambia anampa majina ya vitabu akasoma kwanza.....alijua sana usomaji wa vitabu ni tatizo.....

Mkuu Yo Yo, Tukipenda kujisomea, na sio kusomea maPhd yetu ya kuokota tutakuwa watu tofauti sana. Tunavyojenga hoja zetu tu mtu anaweza kuona kama kweli tunajua tunachokisema.
Idadi yetu kubwa bado tunaamini katika masimulizi....kwenye ulimwengu unaotutaka tujielimishe na kujifunza kweli kweli.Ila I salute Jasusi....ni mmoja ya watu ambao wako vizuri upstairs...no emotions wala bad mouthing...ni hoja zilizopangiliwa
 
Last edited by a moderator:
JK kumbe huwa anafanya mazoezi na tusisahau kuwa ni mwanajeshi

Tatizo ni hao wapambe wake na hasa huyo aliyevaa jeans...inawezekana vipi rais anayependa kupiga pamba akazungukwa na watu waliochoka namna hiii?

551123_4065978006828_836462826_n.jpg

jogging.jpg
Dah hao jamaa nao wanafanya mazoezi pasipo kupenda!
 
Mkuu Yo Yo, Tukipenda kujisomea, na sio kusomea maPhd yetu ya kuokota tutakuwa watu tofauti sana. Tunavyojenga hoja zetu tu mtu anaweza kuona kama kweli tunajua tunachokisema.
Idadi yetu kubwa bado tunaamini katika masimulizi....kwenye ulimwengu unaotutaka tujielimishe na kujifunza kweli kweli.Ila I salute Jasusi....ni mmoja ya watu ambao wako vizuri upstairs...no emotions wala bad mouthing...ni hoja zilizopangiliwa
UKitaka kujua most ya wabongo wana matatizo makubwa kwenye ujengaji wa hoja.....angalia malumbano ya hoja ITV.....mama yangu arifu wale wasomi wana hoja mufilisi sana....sio kwamba hawana akili ila hawnaa exposure kwenye masuala ya msingi ambayo kwa namna moja au nyingine wangeipata sio kwa ku attend AFDB summit ila kwa kujisomea vitabu......
 
Sasa huyo mnayedhani amechoka ndiyo amefuzu mafunzo vizuri hadi yakadhoofisha afya yake hapo ikitokea kitu anaruka kama tumbili akiwa kwenye mti vile, usiombe.

Hahahahaaaa ahaahaaahaa :) Hii ya kuruka kama TUMBILI imeniacha hoiiii
 
hivi jk hawezi kutembea kwa haraka nasikia amejazwa ma bullet proof yanamzidia.....
610x.jpg
President Obama upon arrival at Logan International Airport in Boston

x610.jpg

610x.jpg

barack-obama-2011-4-27-14-42-59.jpg
President Barack Obama jogs to greet supporters after arriving at Chicago

P120610PS-0198.jpg

x610.jpg

610x.jpg

look those 4 black suits men....Yes they have fitness test and yes there are codes on their communication....
 
Back
Top Bottom