JK akifanya mazoezi lakini....

rais wa ufaransa nae na blue "vesti" ya blue ya NYPD na sio paris police department(ppd),kweli watu wanapenda sana umarekani

jogging.jpg

Atakuwa alipewa zawadi hiyo tshirt, mbona kuna marais wengine wanapewa kofia kama zawadi.
 
JK kumbe huwa anafanya mazoezi na tusisahau kuwa ni mwanajeshi

Tatizo ni hao wapambe wake na hasa huyo aliyevaa jeans...inawezekana vipi rais anayependa kupiga pamba akazungukwa na watu waliochoka namna hiii?



jogging.jpg

Huyu Rais wa zamani wa ufaransa anakimbia hapo mbele ya kaptula nanihii imesimama kama yuko faragha..au amemkumbuka mwanamitindo wake. kama hakimbii hivyo mwanamitindo wake amsahau maana hataweza kummudu
 
Safi sana hivi yule aliyemtangulia alikuwa anafanyaga mzoezi kweli manake kwa unene ule mhh sijui
 
hivi jk hawezi kutembea kwa haraka nasikia amejazwa ma bullet proof yanamzidia.....
610x.jpg
President Obama upon arrival at Logan International Airport in Boston

x610.jpg


610x.jpg


barack-obama-2011-4-27-14-42-59.jpg
President Barack Obama jogs to greet supporters after arriving at Chicago

P120610PS-0198.jpg


x610.jpg

610x.jpg

look those 4 black suits men....Yes they have fitness test and yes there are codes on their communication....

Sio mabullet proof bana , afya yake haimruhusu kutembea kwa haraka!
 
rais wa ufaransa nae na blue "vesti" ya blue ya NYPD na sio paris police department(ppd),kweli watu wanapenda sana umarekani

jogging.jpg

Hili nami limenishangaza sana, raisi wa Ufaransa nae anashabikia Umarekani!! no wonder hii mijamaa inasumbua dunia
 
anaumwa nini....nahitaki kujua mr president anaumwa nini?....au suala la afya ya jk sio la muungano?

Anaumwa sana Yo Yo.......we jua tu hivyo kuwa afya ya mr. president sio kama ya Obama!.....hawezi kukimbia wala kutembea kwa haraka kama Obama.
 
Last edited by a moderator:
Acheni hizo, mnatathimi vipi mtu kwa mavazi????
Mbona huyo pembeni ya SACORZY amevaa traksuti ya kichoka mbaya, au kwa sababu yeye ni mzungu, ile ya mzungu hata akivaa ndala ataonekana smart??!!

Ushawahi kuona mzingu smart akiwa hana mkutano?,
 


hivi JK na Mzee wilbord slaa!... nani ana shepu la kizembe..??

Ujue shepu zingine zinatengenezwa na ARVs......sasa kama mtu hatumii lazima aonekane ana shepu la kizembe tehe, tehe, tehe!
 
Hata kwenye mazoezi tu tunaonekana tuko nyuma,
je kwenye uongozi itakuwaje.
 
View attachment 55511

Nafikiri yalikuwa ni matembezi ya jioni. Ajifunze kwa wenzake wanaoongozwa na instructors (Bi Rice pichani). Sasa jamaa hata akimaliza hizo Km3 anakuwa wabariiidi hata tone la jasho hana.
 
Back
Top Bottom