JK akifanya mazoezi lakini....

BORGIAS

Senior Member
Jun 3, 2012
134
57
JK kumbe huwa anafanya mazoezi na tusisahau kuwa ni mwanajeshi

Tatizo ni hao wapambe wake na hasa huyo aliyevaa jeans...inawezekana vipi rais anayependa kupiga pamba akazungukwa na watu waliochoka namna hiii?

551123_4065978006828_836462826_n.jpg

jogging.jpg
 
hawajavaa nguo wanazoghalamiwa na walipa kodi,
 
Sasa huyo mnayedhani amechoka ndiyo amefuzu mafunzo vizuri hadi yakadhoofisha afya yake hapo ikitokea kitu anaruka kama tumbili akiwa kwenye mti vile, usiombe.
 
Acheni hizo, mnatathimi vipi mtu kwa mavazi????
Mbona huyo pembeni ya SACORZY amevaa traksuti ya kichoka mbaya, au kwa sababu yeye ni mzungu, ile ya mzungu hata akivaa ndala ataonekana smart??!!
 
Acheni hizo, mnatathimi vipi mtu kwa mavazi????
Mbona huyo pembeni ya SACORZY amevaa traksuti ya kichoka mbaya, au kwa sababu yeye ni mzungu, ile ya mzungu hata akivaa ndala ataonekana smart??!!

Mleta habari anahoji kuvaa jeans wakati wa mazoezi. Huyo mzungu kavaa nguo sahihi pamoja na kuwa ya kichovu! Ndo maana hajaguswa!
 
Hapo hakuna zoezi lolote!! Mcheki Sarkozy alivyokata body, as if wrestler!
 
Kwanza sio jeans, halafu huyo hayupo mazoezini, yupo kazini.

Tatizo watu wanaangalia nini sijui!!!! Huwezi kuwa mlinzi wa rais kwa bahati mbaya, ni mchakato ambao ni lazima uwe fit ndipo ukae karibu na rais kuangalia usalama wake.

Watu wametaka kumbeza kwa muonekano wake lakini si kwa utendaji wake, na hapo ndipo tatizo linapoonzia.
 
Back
Top Bottom