Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Sio tu chumbani sio stoo, bali sio museum! Asante kwa kutukumbusha.
Unafanya kazi za internal decor mkuu? Ungetufahamisha huenda huduma ikahitajika.

Hapana sifanyi kazi za internal decorarion. Ila nina huo ujuzi cuz my mom and my dad walikuwa wakifanya kazi hiyo for fun ingawa walikuwa na kazi nyingine nzuri za kufanya. So most of the time nilikuwa nao nikijifunza
 
Na watu tuache kujenga vyumba vidogo utadhani duka, yani mtu sebule kubwa lakini chumba cha kulala kinatosha kitanda tu na ikizidi kabati, chumba kina msongamano wa vitu kama duka. somo zuri i like it mana chumbani ndo ugonjwa wangu.
 
na watu tuache kujenga vyumba vidogo utadhani duka, yani mtu sebule kubwa lakini chumba cha kulala kinatosha kitanda tu na ikizidi kabati, chumba kina msongamano wa vitu kama duka. somo zuri i like it mana chumbani ndo ugonjwa wangu.

Thank you kwa ushauri wako. msg yako imewafikia walengwa.
 
Hapana sifanyi kazi za internal decorarion. Ila nina huo ujuzi cuz my mom and my dad walikuwa wakifanya kazi hiyo for fun ingawa walikuwa na kazi nyingine nzuri za kufanya. So most of the time nilikuwa nao nikijifunza

Hahahaa, kwa hiyo hiyo si kazi nzuri? Interior design ni moja ya kazi zisizojulikana lakini zinalipa sana; project moja ya nyumba ya kuishi vyumba viwili, sebule, jiko si chini ya 2M, na ni kazi ya siku kadhaa tu anadesign, unaconfirm, anakabidhi kazi kwa contructor wako! Kama unataka akuchagulie na kukupangia fenicha pesa inaongezeka!!!
 
Mada nzuri sana, thx. Ila umeiacha hoi hapo kwenye madera na tshirt za kulalia!
 
Mada nzuri sana, thx. Ila umeiacha hoi hapo kwenye madera na tshirt za kulalia!

Ni kweli madela yanaharibu mvuto wa mwanamke hasa nyakati ambazo wewe na mpenzi wako mnakuwa faragha. Huwezi kunivalia mat-shirt makubwa au madela halafu ukategemea mimi nipate hisia za kufanya mapenzi na wewe.

Lazima univalie nguo zenye mvuto na ninazozipenda ambazo wewe unajua kabisa nikiziona tu mwiliko wako lazima babu aamke huko kwenye suruali.
 
Back
Top Bottom