Je, wewe unapangilia vipi chumba chako cha kulala?

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
5,059
8,180
Halo JF nipo jukwaa hili.

Hivi chumbani unapolala huwa una vitu gani na gani? Vipi mpangilio wako wa vitu.

Huwa unakumbuka kupangilia au ndiyo mambo mengi siku moja moja unadeki 😅😅😅 ninacheka maana wanaume wengi wachafu sana yaani chumba cha kulala kama danguro la wahindi, au karakana za wachina 😂
Wala hawathubutu kukaribisha pisi yaani speed zao ni guest house huko wakipata pisi.

Mfano mpangilio mzuri wa chumba cha kulala ni uwe na Kitanda kizuri pamoja na kabati la nguo moja, hanger ya nguo na viatu, kama utakuwa na kochi moja na meza ndogo sana sio mbaya, hayo makoro koro mengine huwa sio ishu sana, jiko na mavyombo ni kuforce tu life ila tujitahidi tuishi vizuri.

Wakuu, sometimes bedroom nzuri huwezi choma gharama kwenda guest wewe na mwenza wako/ hata awe demu.

Mimi binafsi sipendi chumbani kuwe hovyo na haitokei kitu kama hicho, najua wapo girls wapo rough till this time. Tena nimegundua girls baadhi ni wavivu yaani huyo wa hivo hawezi ishi na mtu smart. Zaidi watatibuana.

Screenshot_20230228-210914_Instagram.jpg


#bedroom
 
1. Kitanda+ gadoro inch 8 au 10
2. Kiti cha watu wawili
3. TV isiwe chini ya 40 inch
4. Sound bar
5. Kafriji kadogo 100 Lita
6. TV isiwe ukutani kama baa tafuta show case
Haya ni mambo ya vijana miaka 20 mpaka 30 mimi kikongwe hayanifai kwa sasa
 
Back
Top Bottom