KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,068
Wakuu mi niko hoi naugua hii kitu, uso upo kama nimezimiwa sigara,, jinsi gani ya kutua madoa?
Mtafute Fid Q atakusaidia sana
inapatikana wapi mkuu?Time tu, utapaka mavitu wee mwishowe utajikrimu bure.
Labda bio oil kwa mbaaali inasaidiaa naaa hainaa effect kwa ngozi.
nenda duka la dawa kanunue dawa moja inaitwa gentlezon ipo katka tube kama kdawa cha mswaki kidogo,,,,,,,,,inauzwa elfu tatu,,,,kisha nenda kwny maduka ya cosmetic kanunue Eskino ya Lemon made in Philipine chumba ndogo inauzwa elfu mbili na kanunue na pamba kisha utakuwa unaosha sura yako kwa maji safi na salama ya uvugu vugu au hata ya bairidi si mbaya, lakin hakikisha sabuni unayotumia kuosha sura yako iwe inakupenda yan isiwe ina kuharibu kama sabun unayotumia haikubalian na ngozi yako bac tafuta sabun inayokubaliana na ngozi yako na kitaalamu haushauliwi kubadilisha badilisha sabun ya kuogea maana kla sabun ina kemiko zake. Ukisha kausha sura vzur bac chukua eskino itie katka pamba kidogo kisha sugua sura yako vzur pamba ukiona imechafuka tayar kata kipande kingne tia eskino jisugue taratbu kisha kama n usiku lala,,,,, asubuhi osha sura kama kawaida ksha paka gentlezon,,,,hakikisha kama ukipaka gentlezon usiku asubuh usipake au hata kama ukpaka lakin usifululize sana maana n kali hyo dawa na wahawashauri kuitumia kla cku ila eskino unaweza kutumia kila siku fanya utaratbu huo kutwa mara tatu au mara mbili bac utakuwa mzuri kama Mr. Blue
Kama utakuwa na swali utaniulza na ntakujbu
inapatikana wapi mkuu?