Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

WanaJF na wataalam wa afya ya ngozi nisaidieni Hili, nmekuwa na madoa mengi Sana USONI baada ya chunusi na vipele kuvikuna na kupona, nimejihisi pengine nitakuwa na upungufu fulani mwilini mwangu kwa sababu mwanzo nilikuwa napona na nilikuwa sibakiwi na doa jeusi, sasa hivi vinabaki vingi Sana, na Je, nitumie dawa gani Ili kuondoa MADOA hayo meusi usoni kwangu?

Watalamu wa afya ya ngozi na afya KWA ujumla naombeni mnisaidie jamani.
 
Nenda kwenye clinics za madaktari wa ngozi (dermetologists) ukafanye laser reserfesing mkuu kuondoa hizo alama hii ni option ya uhakika kushinda yoyote utayoweza kupata baada ya sessions 2 au 3 ngozi yako itarudia hali yake ya unyororo .
 
Hello dears,
Naomba mwenye kujua dawa ya kuondoa madoa meusi huwa yanatokea shingoni au usoni, kwa kizungu yanitwa Melasma, Plz!
 
Back
Top Bottom