Msaada: Nawezaje kuondoa mabaka ya usoni yaliyosababishwa na chunusi?

Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
678
947
Habarini wakuu, nilianza kusumbuliwa na chunusi Toka nikiwa form one 2009, chunusi zikaisha 2018 lakini baada ya hapo nimebaki na mabaka usoni hadi kupiga picha naogopa.

Nilikuja hapa nikapewa ushauri na dada flani Hivi nitumie Young forever, nilifanya hivyo lakini sikupata matokeo mazuri.

Naomba msaada wenu kwa anayefahamu njia nzuri ya kuondoa mabaka, Mimi ni mwanaume kwahyo isiwe cream.

Nasubiri positively comments
 
Chukua shahawa zina protein ya kutosha, paka usoni, kaa nazo usoni siku nzima... Zinasaidia kurekebisha ngozi. We huoni mademu malaya uwa na ngozi nzuri, wanamwagiwa sana shahawa
 
Mdogo wangu aliwahi kukumbwa na tatizo kama lako, alishauriwa na Mzee mmoja atumie matunda kwa wingi ,maziwa fresh walau glass moja kwa siku na maji ya kunywa ya kutosha mabaka yalipotea pole pole hadi ngozi ikawa sawa japo ilichukua miezi kadhaa.

Sehemu kubwa ya mlo wake ilikuwa ni mchanganyiko wa matunda ,maziwa na maji ya kunywa kwa wingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu, nilianza kusumbuliwa na chunusi Toka nikiwa form one 2009, chunusi zikaisha 2018 lakini baada ya hapo nimebaki na mabaka usoni hadi kupiga picha naogopa.

Nilikuja hapa nikapewa ushauri na dada flani Hivi nitumie Young forever, nilifanya hivyo lakini sikupata matokeo mazuri.

Naomba msaada wenu kwa anayefahamu njia nzuri ya kuondoa mabaka, Mimi ni mwanaume kwahyo isiwe cream.

Nasubiri positively comments
Umejaribu snapchat?
 
Mdogo wangu aliwahi kukumbwa na tatizo kama lako, alishauriwa na Mzee mmoja atumie matunda kwa wingi ,maziwa fresh walau glass moja kwa siku na maji ya kunywa ya kutosha mabaka yalipotea pole pole hadi ngozi ikawa sawa japo ilichukua miezi kadhaa.

Sehemu kubwa ya mlo wake ilikuwa ni mchanganyiko wa matunda ,maziwa na maji ya kunywa kwa wingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom