Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Kwa anayejua njia ya kuondoa makovu eitha kwa njia ya asili au kwa kutumia dawa au mafuta/lotion atupie hapa makovu ya chunusi pamoja na vipele!
 
Naombeni msaada kipindi cha nyuma nlisumbuliwa sana na chunusi, nashkuru shv nimepoa but zmeacha madoa mengi usoni mwangu, makovu pamoja na vishimo vya chunusi. Naombeni msaada wa jf.
 
Kula chakula chenye Vitamin E kwa wingi, ikiwa ni pamoja na mboga mboga za majani kama mchicha na broccoli pamoja na matunda kama parachichi, papai na zaituni

Wataalamu wa ngozi wanapendekeza pia utumiaji wa matango
 
Alright! Nunua dawa iitwayo " No Scar" ni cream, Reduces & Removes Scar, Post Pimples scars, Stretch Scars, Burn Scars, Dark Circles under the eyes.

Apply on the affected area 2-3 times a day and massage gently till the cream is fully absorbed. Do it especially at bed time. Bei yake ni 5000/=
 
Alright! Nunua dawa iitwayo " No Scar" ni cream, Reduces & Removes Scar, Post Pimples scars, Stretch Scars, Burn Scars, Dark Circles under the eyes.
Apply on the affected area 2-3 times a day and massage gently till the cream is fully absorbed. Do it especially at bed time. Bei yake ni 5000/=

Thanx but hyo dawa tayari kuna sister wangu katumia but haikumpa nafuu. Kama kuna dawa nyngne tujuvye tafadhali.
 
Mara nyingi dawa na cream/mafuta ya kupaka haiondoI scars/vishimovitokanavyo na makovu ya chunusi kwenye ngozi.Utasikia mara tumia Bio Oil etc.Hizi haziondoi tatizo.

Kama mashimo ni makubwa sana basi ukiweza kafanye laser treatment kwa ngozi iliyoathiriwa.

Cha kufanya jitahidi sana kula mboga na matunda na kunywa maji, kama walivyoshauri wengine.

Pia kuwa na kawaida ya kufanya treatment ya uso, fanya facials na uwe na kawaida ya kutumia toner unapoosha uso wako.Epuka kulala na make up.
 
Try kutumia unga wa dengu.unamix unga wa dengu na maji unakuwa si mwepesi sana wala mzito sana unapaka unaacha unakaukia,huwa inavuta sana ngozi,then unaosha.

Pia unaweza kuscrub uso kwa tumia sukari unamix na asali na olive oil hii pia inasaidia kumoisturize ngozi.
 
Try kutumia unga wa dengu.unamix unga wa dengu na maji unakuwa si mwepesi sana wala mzito sana unapaka unaacha unakaukia,huwa inavuta sana ngozi,then unaosha.
Pia unaweza kuscrub uso kwa tumia sukari unamix na asali na olive oil hii pia inasaidia kumoisturize ngozi.

Thank u sana napenda sana dawa za asili naamini haziwezi kuniletea madhara.
 
Hello! Tatizo lako siyo kubwa ni tatizo ambalo linaweza kuondolewa kwa kutumia product(bidhaa) ambayo imeandaliwa kiasilia na isiyokuwa na madhara kwenye ngozi. Zipo lotion na cream muhimu kwa ajili ya kusafisha ngozi kwa kuondoa cell zilizokufa na kuacha ngozi nyororo yenye kupendeza. Tuwasiliane kwa email healthwealthfirst@gmail.com pia namba 0713889162
 
Hello Njunwa! Tatizo lako siyo kubwa na linakuwepo kwa baadhi ya walio wengi ila ni kwa kukosa tu uelewa ndo maana wanakuwa na hali kama hiyo au pia kutokuona umuhimu sana wa kutunza ngozi. Kunazo products(bidhaa) zisizo na kemikali ambazo zimeandaliwa kwa ufanisi mkubwa na kuweza kuthibitishwa na viwango vyote muhimu kwa ajili ya matumizi ya ngozi. Zipo creams,lotions na sabuni ambazo hutumika kwa ajili ya kuisafisha na kuitunza ngozi na kuiacha ikiwa nyororo na yenye kupendeza. Tuwasiliane kwa email healthwealthfirst@gmail.com pia namba 0713889162
 
Epuka kunywa vinywaji baridi. Kunywa maji bilauri moja kubwa ya vuguvugu asubuhi unapoamka, kisha endelea kupata bilauri moja ya maji kila baada ya masaa mawili hadi saa 4 usiku.

Chukua asali kijiko kimoja kikubwa changanya na tangawizi kijiko kimoja pakaa usoni kwa kusugua wacha ikae usoni kwa muda wa nusu saa kisha osha uso kwa maji safi, itanyonya bakiteria wanaosababisha uso uwe na chunusi.
 
Back
Top Bottom