Kufanya Mapenzi mara kwa mara kunasaidia kuifanya ngozi ya mwanamke iwe nyororo na isiwe na chunusi?

Mleta amani

Member
Dec 6, 2019
25
117
Hivi ni kweli kuwa kwa mwanamke kufanya mapenzi mara kwa mara kunamsaidia kuondoa chunusi na kuifanya ngozi yake kuwa nyororo na yenye mng'aro angavu?

Kuna uelewa wa kitaa kuwa sex inamsaidia sana mwanamke kutokua na chunusi. Na hata wanawake ambao wanajulikana hawafanyi sex mara kwa mara mtaani (mfano wanawake ambao hawajaolewa na hawana wapenzi, au wanawake wajane), huwa na nyuso zilizojaa chunusi sana. Vile vile, wanawake wajawazito (ambao tuna uhakika asilimia 100 kuwa wamefanya sex), huwa na ngozi nyororo sana zisizo na chunusi.

Wengi husema kinachosababisha hii hali ya ngozi kuwa nyororo ni sperms anazopokea mwanamke wakati wa sex.
Pia, sex hupunguza stress hormone inayoitwa 'cortisol' ambayo uwepo wake kwa wingi husababisha ngozi kutokua smooth.
 
Back
Top Bottom