siemens c25
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 217
- 44
Jamani wadau nimeskia unaweza kufanya maujanja ya kuchakachua king'amuzi cha startimes na ukapata machanel yote bila kulipia jamani anayejua anijuze basi.
katufundisha mkuu wa kaya na watu wake namna ya kuiba, tatizo ni kwamba sisi tukinaswa hatupewi mda wa kurudisha na kujiuzuluHuo ni wizi hivi kwann watz tunapenda vitu vya bure?!! yaani kulipia kingamuzi unaona shida! kodi utalipa?!!
Huo ni wizi hivi kwann watz tunapenda vitu vya bure?!! yaani kulipia kingamuzi unaona shida! kodi utalipa?!!
Tulipe kodi ili mafisadi muendelee kunenepa sio?, hapa ni kuchakachua na kukwepa kodi tu!Huo ni wizi hivi kwann watz tunapenda vitu vya bure?!! yaani kulipia kingamuzi unaona shida! kodi utalipa?!!
Kuna Wapumbafu wametoka huko Facebook kwa wapumbaf wenzao wamevamia Humu JF na majibu yakipuuzi wanakera sana, shenzi zao, wanadhani ni utotototo tu, nimekasirika kweli hapa aah!
Huo ni wizi hivi kwann watz tunapenda vitu vya bure?!! yaani kulipia kingamuzi unaona shida! kodi utalipa?!!
huyo mshikaji me nimemuelewa...anashindwa kukwambia kwamba hajui...hii forum c imevamiwa na warugaruga...ww kama huju c uache uscomment 2