King'amuzi cha startimes

yuga

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
371
255
Jamani king'amuzi kipya kabisa ambacho baso hakijasajiliwa cha startime huwa kinakuwa na status ipi kati ya hivi
1. Domarnt
2. Invalid
3. Inactive

Msaada wenu wangwana na wajuvi wa mambo haya mnisaidie
 
Sio kwa ubaya mkuu. Hicho king'amuzi kinatumika kufanyia nn?
Wafrika bhana! Ndiyo mambo ya myweather kujipiga picha na hela mara anaogeshwa.
Hapo anatumia DSTV, Azam tv au Canal + ameona amepatia maisha.
Kuna mpangaji mwenzangu hapa amepanga chumba na sebule, sofa 2, kitanda cha 5x6, TV inchi 21, sabufa ya 90, Kabati ya vyombo na ya nguo. Hasalimii watu
Huwa nacheka sana
 
Mkuu hold on, unaongelea nn kwani? 😅😅😅
 
Wafrika bhana! Ndiyo mambo ya myweather kujipiga picha na hela mara anaogeshwa.
Hapo anatumia DSTV, Azam tv au Canal + ameona amepatia maisha.
Kuna mpangaji mwenzangu hapa amepanga chumba na sebule, sofa 2, kitanda cha 5x6, TV inchi 21, sabufa ya 90, Kabati ya vyombo na ya nguo. Hasalimii watu
Huwa nacheka sana
Oooops we run into some problem
Reply with unknown subject or out of point.
 
Jamani nimeuliza mnipe msaada tena mnaleta masimango wadau hiyo sio poa kabisa imagine ni ww umeuliza sasa
 
Wafrika bhana! Ndiyo mambo ya myweather kujipiga picha na hela mara anaogeshwa.
Hapo anatumia DSTV, Azam tv au Canal + ameona amepatia maisha.
Kuna mpangaji mwenzangu hapa amepanga chumba na sebule, sofa 2, kitanda cha 5x6, TV inchi 21, sabufa ya 90, Kabati ya vyombo na ya nguo. Hasalimii watu
Huwa nacheka sana
Mkuu mpaka ukajua vyote hivi, uliingia chumbani kwake kufanya nini?
 
Jamani king'amuzi kipya kabisa ambacho baso hakijasajiliwa cha startime huwa kinakuwa na status ipi kati ya hivi
1. Domarnt
2. Invalid
3. Inactive

Msaada wenu wangwana na wajuvi wa mambo haya mnisaidie
Sijaelewa swali lako mimi
 
Jamani nimeuliza mnipe msaada tena mnaleta masimango wadau hiyo sio poa kabisa imagine ni ww umeuliza sasa
Mkuu
Card Ya Hicho Kisimbuzi Uliichomeka Maana Kwa Maelezo YakoNi Kama Hujaweka Card
 
Back
Top Bottom