Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe!
Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe mvua au wingu likija wao ni neema tu!
Naomba mnijuze nikanunue nini ili kwa kutumia dishi la zuku niweze kuhamia azamu?
Naombeni ufafanuzi! Karibuni wenye taarifa kamili