Jinsi ya kuchakachua king'amuzi cha startimes.

siemens c25

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
217
44
Jamani wadau nimeskia unaweza kufanya maujanja ya kuchakachua king'amuzi cha startimes na ukapata machanel yote bila kulipia jamani anayejua anijuze basi.
 
Huo ni wizi hivi kwann watz tunapenda vitu vya bure?!! yaani kulipia kingamuzi unaona shida! kodi utalipa?!!
 
mkuu hawa jamaa wa startimes hawalipi kodi nenda kalipie then angalia risit kwenye VAT unakuta ziro ziro
 
huyo mshikaji me nimemuelewa...anashindwa kukwambia kwamba hajui...hii forum c imevamiwa na warugaruga...ww kama huju c uache uscomment 2
 
Huo ni wizi hivi kwann watz tunapenda vitu vya bure?!! yaani kulipia kingamuzi unaona shida! kodi utalipa?!!
katufundisha mkuu wa kaya na watu wake namna ya kuiba, tatizo ni kwamba sisi tukinaswa hatupewi mda wa kurudisha na kujiuzulu
 
Kuna Wapumbafu wametoka huko Facebook kwa wapumbaf wenzao wamevamia Humu JF na majibu yakipuuzi wanakera sana, shenzi zao, wanadhani ni utotototo tu, nimekasirika kweli hapa aah!
 
Huo ni wizi hivi kwann watz tunapenda vitu vya bure?!! yaani kulipia kingamuzi unaona shida! kodi utalipa?!!
Tulipe kodi ili mafisadi muendelee kunenepa sio?, hapa ni kuchakachua na kukwepa kodi tu!
 
Turud kwenye topiki tumsaidie huyu mwenzetu na wengine wenye kuhitaj kuchakachua..
 
Kuna Wapumbafu wametoka huko Facebook kwa wapumbaf wenzao wamevamia Humu JF na majibu yakipuuzi wanakera sana, shenzi zao, wanadhani ni utotototo tu, nimekasirika kweli hapa aah!

Mods!!! angalia umekuwa uwanja wa matusi, credibility ya JF iko wapi sasa!!!
 
unajua nin sambuka wamesha adapt na mazingra ya facebook thatz y wanakuwa na majibu ya kipuuz,,,,co mpango kuwa fine mkaka hawajui kwamba watu wanasoma kupitia jf,,,khalifab@rocketmail.com
 
Trick zipo sema sie member wapya hatuaminiwi kaka!!!! Wakuu wanatumia hiyo ya free so hawataki kumwaga ubwabwa penye kuku wengi maana memba wengine ni wanoko noko humu so wanaofia kuzibiwa matobo wanayopenyea.
 
Huo ni wizi hivi kwann watz tunapenda vitu vya bure?!! yaani kulipia kingamuzi unaona shida! kodi utalipa?!!

huo sio wizi wewe--huu ni utaratibu wa kawaida kabisa wa maisha nchini Tanzania. labda ww co mtanzanha kwa hiyo maisha ya waTanzania huyafahamu vzr. ni bora ukae kimya. unataka watu tulipe kodi ngapi ndipo uridhike?
 
huyo mshikaji me nimemuelewa...anashindwa kukwambia kwamba hajui...hii forum c imevamiwa na warugaruga...ww kama huju c uache uscomment 2

hili ndio NENO, sio baadhi ya watu wanatoa majawabu ya ajabu ajabu. kama m2 huna jibu, kaa kimya!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom