King'amuzi cha Azam vipi tena?

Mtu_Mzima

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
1,163
1,125
Inakaribia sasa wiki sasa bila taarifa kwa wateja channel za Upendo na Joy Tv zimeondolewa king'amuzi cha Azam.

Hii imetokana na nini? Anayejua atujuze tafadhali maana hiyo ilikuwa sababu mojawapo ya kununua king'amuzi hicho.

Kama vipi tujue la kufanya.
 
Back
Top Bottom