Jinsi CCM na CHADEMA wanavyoshirikiana kuviangamiza vyama vya upinzani

hao jamaa(CDM)ukiwaambia ukwel hawajibu kwa hoja wao wanatukana tu

Kuja na hoja za kilusinde lazima utukanwe na kikustahilicho,hoja yenye ushahidi ndo sawa ila hiz za kimkapa mkapa kaweken choon.
 
Jamaa kaanza kwa hofu sana,

Mkuu kama lengo lako ni kuikomboa TZ jiunge na timu iliyokaribia kutimiza hilo na kama lengo lako ni Ruzuku, basi navyoona hutafanikiwa.

Issue ya CUF kushikiana na CCM kuuwa upinzani ndiyo vali hilo hata haihitaji mimi kuthibitisha ukweli uko wazi na pengine CUF inakufa kwa sababu ya hiyo Laana..

Mimi nafikiri umefika wakati mwafaka kwa CDM kuikataa Ruzuku kama Posho, lakini tufanye Tathmini ya M4C kwanza kwa miaka miwili hivi.
 
nashukulu kama umetambua nisemayo yana ukweli lakini naomba ujifunze kitu kama unatukanwa na kitu usemacho ni cha kweli shukuru maana msg inakuwa imefika lakini kama ni uongo lengo la kupewa matusi ni kwamba ujilekebishe.
Ni kweli nimegundua kuwa humu ukiandika thread na ukaona umetukanwa ujue kuna vitu vili hapo eiza
1: umepost utumbo au
2: umepost ukweli
Hoja yako imekaa vyema, ila nakushauri ufanye utafiti kwa nini chadema wanavituhumu vyama vingine ni dhahili utaona hivi vyama vingine si vyama vya upinzani bali ni kama saccos fulani zinazotumia mgongo wa siasa kujipatia masilahi, maana huwezi kuwa na sifa ya kuitwa mpinzani ilihali unamsapoti yule unayeshindana
 
Magamba wanajulikana kwa sentensi ya kwanza tu. Mungu atakulaani kwa unafiki wako. Tafadhali tuachie chadema yetu.
 
Magamba wanajulikana kwa sentensi ya kwanza tu. Mungu atakulaani kwa unafiki wako. Tafadhali tuachie chadema yetu.

MUNGU haamrishi namna ya utendaji wa kazi ni kumkosea heshima.
Usipende kutoa hukumu bila tafakari.
 
Jamaa kaanza kwa hofu sana,

Mkuu kama lengo lako ni kuikomboa TZ jiunge na timu iliyokaribia kutimiza hilo na kama lengo lako ni Ruzuku, basi navyoona hutafanikiwa.

Issue ya CUF kushikiana na CCM kuuwa upinzani ndiyo vali hilo hata haihitaji mimi kuthibitisha ukweli uko wazi na pengine CUF inakufa kwa sababu ya hiyo Laana..

Mimi nafikiri umefika wakati mwafaka kwa CDM kuikataa Ruzuku kama Posho, lakini tufanye Tathmini ya M4C kwanza kwa miaka miwili hivi.
nakubaliana na wewe cuf nao ni kama ccm pia case iliyopo hapa je vyama vyote vya upinzani vina ndoa na ccm !
 
Nianze na hoja ya CDM kuvituhumu vyama vingine mapandikizi ya CCM.

Kwangu mimi CDM wapi sahihi kwa sababu vyama vya upinzani vyenyewe havipendani hasa chaa kimoja kinapoonekana kupanda chati na kukubalika na wananchi. Mfano mwepesi ni CUF katika kuunda kambi ya upinzani hebu imagine kama CDM ingekubali kuunda umoja huo na CUF saizi hatma yake ingekuwaje? Ni kama nayo CDM ingepiteza mvuto kufokana na CUF kupoteza uelekeo na mvuto.

Pili, CCM kupandikiza mashushushu au UWT katika vyama. Hilo ni kweli naungana nao. Kinachowashinda hawa jamaa ni kitu kimoja. CCM inaharibu sana mpaka jamaa wanaona hakuna haja ya kuharibu vyama hivyo maana CCM ndiyo itajisahau na kufanya nchi hii iingie msabweni zaidi japokuwa ipo hapo.

Mfano mzuri ni suala la Zitto, kuna watu wanaomtuhumu Zitto kama kibaraka wa serikali ndani ya CDM. Lakini hata kama ni ukweli au uongo Zitto kwa kutumia akili yake tu hawezi na hatakubali kuua upinzani kwa sababu anajua kabisa CCM haina maisha marefu zaidi ya kutegemea dolla ambayi ni dalili ya mwisho ya chama kinachokaribia kufa. Kwa maana hiyo anakuw yupo 50%.

Mzee wa Rula, ahsante kwa upembuzi wako.

Kwa kuongeza tu,CDM inavituhumu vyama vya upinzani kutokana na matendo yao. Hivi karibuni tu kwenye kesi inayomhusu tundu lissu, Ushahidi wa maandishi umeonyesha kuwa M/kiti wa TLP A. Lyatonga, Mwanaye Michael mrema na John Chiligati wamepanga ushahidi wa uongo kumhujum TL-Singida mashariki.

Wana Jf mtakumbuka pia Jinsi M/kiti wa Dp- Mchungaji Mtikila alivyokuwa akishirikiana na CCM kuhujum CDM uchaguzi mdogo-Tarime baada ya kifo cha Chacha Wangwe mpaka Mtikila akapasuliwa kichwa na waliochukizwa na ujinga wake. Hivi ni baadhi tu ya zinazojulikana. Hivo CDM haiwezi kuwapaka mafuta vyama vinavyohujumu mapambano.
 
kama style yenyewe ndio hii kuna umuhimu vifutwe kabisa vyote vyenye tabia izo.
 
Hivi mkuu unafikiri chadema wako serious?

Wanajona sasa hapo walipo ndio wamefika (thye need nothing more than that)..kuwa chama cha kikuu cha pinzani period..

Ndio maana hawataki kuunganisha nguvu, CUF tumewastukia tutapambana kivyetu maana tuna malengo makubwa kusaidia wanyonge kwa kuendesha dola..
 
Uwezi kuwaita vyama vya upinzani kwa kukaa pale Habari maelezo kutoa tamko, hila watakuwa vyama vya upinzani kwa kufanya kazi ya kuikomboa nchi hii. CDM wameona hilo, hivyo unaweza kuinga mkono CDM au kwenda habari maelezo kusubiri posho kutoka CCM.
 
kichomiz sifikilii kama kuna jina lingine zaidi ya msaliti !

Sasa hao unaowaita wapinzani wanaomalizwa na CDM wote ni fake wamejaa unafiki t,hebu angalia CUF kwa nguvu zao zoote badala ya kudeal na CCM wao mpinzani wao namba 1 amekuwa ni CHADEMA,yaani wanaisaidia CCM kuimaliza CDM badala ya kuisaidia CDM hao ni wasaliti na wanafiki.
 
Hivi mkuu unafikiri chadema wako serious?

Wanajona sasa hapo walipo ndio wamefika (thye need nothing more than that)..kuwa chama cha kikuu cha pinzani period..

Ndio maana hawataki kuunganisha nguvu, CUF tumewastukia tutapambana kivyetu maana tuna malengo makubwa kusaidia wanyonge kwa kuendesha dola..

Only a fool will agree with you ! C UF wameungana na C CM kwa Ndoa ya Muafaka
 
Hivi mkuu unafikiri chadema wako serious?

Wanajona sasa hapo walipo ndio wamefika (thye need nothing more than that)..kuwa chama cha kikuu cha pinzani period..

Ndio maana hawataki kuunganisha nguvu, CUF tumewastukia tutapambana kivyetu maana tuna malengo makubwa kusaidia wanyonge kwa kuendesha dola..

So far tumeridhika hadi hapo tulipo na tunapambana kusonga mbele kuchukua uongozi wa nchi hii 2015.
Ninyi mliokubali kuunganisha nguvu na ccm ili kuunda serikali ni dhahiri kwamba mmekata tamaa ya kuaminiwa na wananchi hadi kuwapa madaraka ya kuiongoza nchi kwahiyo mmeamua kuingia ikulu kwa mlango wa uani.

Najua mmeridhika sana kuwa nyumba ndogo ya ccm na mnapenda kuendelea kuwa hivyo!
 
CUF walikosea sana kuwashirikisha Chadema kwenye upinzani bungeni. Wanachifanya Chadema now ndio ilitakiwa wafanye CUF back then lakini unfortunatelly CUF wakatoa air time ya kutosha kwa Chadema hadi wamewafunika.
 
So far tumeridhika hadi hapo tulipo na tunapambana kusonga mbele kuchukua uongozi wa nchi hii 2015.
Ninyi mliokubali kuunganisha nguvu na ccm ili kuunda serikali ni dhahiri kwamba mmekata tamaa ya kuaminiwa na wananchi hadi kuwapa madaraka ya kuiongoza nchi kwahiyo mmeamua kuingia ikulu kwa mlango wa uani.

Najua mmeridhika sana kuwa nyumba ndogo ya ccm na mnapenda kuendelea kuwa hivyo!

Hamuwezi wala hamuhitaji zaidi ya kuwa chama cha upinzani (that is maximum perfomance for chadema)

CUF tumeshaanza kuchukua dola pande ile ya Zanzibar, taratibu 2015 tunaingia Tangannyika kwa nguvu kubwa..

Tumeingia ikulu kwa mujibu ya katiba ya Zanzibar (ambayo chadema kwa wivu na chuki za kidini) wanalialia kuwa hawaitaki...

CUF ni chama cha wanyonge, kinachoamini katika haki sawa kwa wote, haki kwa maendeleo na amani ya taifa..

Kila siku kinapanda chati, kinapitia katika tanuri la majaribio lakini tuna survive ...tukutane 2015..sir
 
Back
Top Bottom