Unaweza kutumia box la mtu mwingine. Unaiingiza kwenye billing na shipping address.
Nenda na kitambulisho chako chochote chenye picha yako, waambie nataka kufungua akaunti kwa ajili ya online shoping watakupatia fomu ujaze kuna za aina mbili visa cash card tshs.5000 na visa travel money usd 20.kazi kwako
wamepandisha bei kwa visa cash card tsh 15,000/= na visa travel money usd 50
wamepandisha bei kwa visa cash card tsh 15,000/= na visa travel money usd 50
Banc ABC tawi la Arusha ndio waliniambia hivyo mkuu...ndipo nilipofunguliaFEEDBACK; Nimefuatilia, Visa Cash Card ni Tsh.15,000 na Visa Travel Money $20
Banc ABC tawi la Arusha ndio waliniambia hivyo mkuu...ndipo nilipofungulia
Mi natumia S. L. P ya ofisini na huwa napata kila ninachoagiza kutoka nnje
Sio issue ya kibenki bali ni state issue na kama ni bank basi ni central bank na sio individual banks. Niliwa-query PayPal almost 3 years ago about the issue na wakasema kuna mambo serikali kupitia taasisi zake wanatakiwa ku-work out with PayPal! Unfortunately, serikalini kwenyewe ndiyo hivyo tena... majority bado wapo kwenye zama za "passbook" seuze PayPal! Mbaya zaidi, I don't think endapo Tanzania inaweza kuwa area of interest ya kuwafanya PayPal wao kama wao ndo wahangaikie issue yenyewe... ni hadi watakapopatikana aggressive figures pale Wizara ya Fedha ndipo this can happen!Bank zote Tanzania hawaruhusu kupokea pesa kutoka PayPal but wanaruhusu kutoa pesa kwenda PayPal ni ajabu sana but I thank payoneer kwa kuanzisha system ya direct deposit imetuokoa sana waTZ !
Wakuu mm nimeona video camera ambayo bei ni km mil 1 .5 sasa kuna jamaa namtumia aniagizie kwa kuwa mm sina akaunti PayPal sasa jamaa kanipigia hesabu kuwa mpaka nipate Mzigo ni mil3.2 sasa mbona naona gharama ni kubwa sana wakuu au huyu jamaa ananipiga
kibila kujiunga na Paypal hamna tofauti na kujiunga na JF, sema kule wanahitaji visa card, master card and of the like, kama umesoma toka mwanzo utakuwa umejifunza namna ya kuzipata hizo card, ukijiunga huo mzigo unalipia na unatumiwa hadi hapo ulipo na wala huhitaji hela yote hiyo! Na vyema mzigo wako ukipitia posta.Wakuu mm nimeona video camera ambayo bei ni km mil 1 .5 sasa kuna jamaa namtumia aniagizie kwa kuwa mm sina akaunti PayPal sasa jamaa kanipigia hesabu kuwa mpaka nipate Mzigo ni mil3.2 sasa mbona naona gharama ni kubwa sana wakuu au huyu jamaa ananipiga
Samahan kiongozi. Unaweza kunielezea ulivyofanikisha kupata mizigo yako.
Sababu mm nilifanya manunuzi mwaka jana mwezi wa pili mpaka leo sijapata mzigo wangu. Hali hii imenikatisha tamaa kwa kweli.
Nilijaribu kumwambia seller anipatie trucking number akasema trucking number inatolewa kwa mzigo ulio na gharama kuanzia dola 50.
Naomba uzoefu wako ndugu.
Hao Jumia sijawahi kujaribu ila I dont trust them yet.Manunuzi kwa Jumia Tanzania yapo vipi wakuu?? Brands wanazozitangaza ndio hizo kweli?? Naomba kwa wenye uzoefu na hili tafadhali