Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Kwa kweli kwa ufahamu wangu DHL ukipitisha mzigo huko lazima upitie Custom waukague kisha wanakulima kodi. Kama nataka kununua kitu sasa hivi nakuwa mpole kusubiri kwa wiki kadhaa ila napata mzigo wangu kupitia posta, no makato no nini.
Yeah, hili lawezekana, mm siku zote natumia posta, sijakutana na tatizo lolote
 
Mkuu nimejaribu kununua vitu amazon nimeshindwa kabisa, ukichagua unaambiwa hawatumi kwenye destined country ie Tanzania. Hebu niambie nipate kujua wewe unafanyaje?
Mkuu mimi nilinunua mwaka jana. Ila mwaka huu nilijaribu kununua kifaa flani cha kielectronic wakaniambia hivo hivo kwamba bidhaa hiyo haitumwi Tanzania. Mkuu jaribu bidhaa tofauti kwa seller tofauti uone. Labda ni seller huyo ndo hauzi bidhaa tz. Pia ukumbuke kuna baadhi ya bidhaa ni strictly kwa ajili ya matifa flani tu hivo tanzania haziwezi kutumwa. Jaribu kuchunguza mkuu
 
Kweli mkuu.
 
Asante mkuu, ila kwa sasa nimejikita zaidi ebay na aliexpress.
 
Mkuu nimejaribu kununua vitu amazon nimeshindwa kabisa, ukichagua unaambiwa hawatumi kwenye destined country ie Tanzania. Hebu niambie nipate kujua wewe unafanyaje?
Amazon wana option ya filter ambayo inakusaidia kufanya hayo yote mnayosema kwa mfano unataka item ambayo inatumwa kuja Tanzania kuna opt hiyo...
 
Mkuu nimejaribu kununua vitu amazon nimeshindwa kabisa, ukichagua unaambiwa hawatumi kwenye destined country ie Tanzania. Hebu niambie nipate kujua wewe unafanyaje?
Kuna option unaweza kuwa na address ya US,then hiyo kampuni inakutumia hadi hapa bongo,soma hii thread hii
 
Eqyity Wanayo mimi nilitumia card yao kulink kwenye account ya PayPal
ahsante mkuu kwa taarifa nitafanya hilo kupitia hawa maana ndiyo bank yangu, na vipi kuhusu ofisi za Fedex zipo kila mkoa mfano kwa dodoma watakuwepo? Belo
 
vipi utaratibu upoje? nao unajaza form au? samahani kwa maswali mengi Belo
Haujazi fomu yeyote kama una kadi ya VISA au Mastercard unaregister kwenye PayPal kutumia kuna baadhi ya information za kadi yako zitatumika kwenye usajili.Ukisoma vizuri kwenye hii mada kuna member walishaelezea jinsi ya kujiunga na PayPal
 
ahsante mkuu kwa taarifa nitafanya hilo kupitia hawa maana ndiyo bank yangu, na vipi kuhusu ofisi za Fedex zipo kila mkoa mfano kwa dodoma watakuwepo? Belo
Sina experience na Fedex ,mara zote nilizonunua nilitumia Posta kusafirisha
 
Back
Top Bottom