Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 2,897
- 3,242
Nashukuru mkuu maana nataka kujaribu na nipo mbali ila roho yasita kabisa.Hao Jumia sijawahi kujaribu ila I dont trust them yet.
Nashukuru mkuu maana nataka kujaribu na nipo mbali ila roho yasita kabisa.Hao Jumia sijawahi kujaribu ila I dont trust them yet.
Boss Jumia wako poa sana.Nashukuru mkuu maana nataka kujaribu na nipo mbali ila roho yasita kabisa.
Mkuu unge-curop hapo kwenye jina. Tuna ham ya kujifunza kwa ushuhuda, si unavyojua tena hizi e-comerce hapa bongo bado tunajisuasua na wengi bado hatujajua jinsi ya kuhifadhi taarifa zetu za Kimtandaokimekuja na posta, nilitumia slp ya mwanza, so nimekikuta mwanza home nilipofika.
pale jambo la muhimu ni kuangalia wauzaji, wapo ambao wanajulikana, pia angalia shipping bure au unalipia? maana kama shipping ni bure ujue itachukua wiki 3 mpaka 4, kama ni kulipia inachukua less than 7days inategemea wapi unaponunulia.
chief-mkwawa ningeweka picha ya box uone walivyoandika ila kuna jina langu halisi, ntakutumia kwa whatsapp.
cc DecisionMaker
Kwanini usifungue account yako mkuu?Wakuu mm nimeona video camera ambayo bei ni km mil 1 .5 sasa kuna jamaa namtumia aniagizie kwa kuwa mm sina akaunti PayPal sasa jamaa kanipigia hesabu kuwa mpaka nipate Mzigo ni mil3.2 sasa mbona naona gharama ni kubwa sana wakuu au huyu jamaa ananipiga
Mkuu huu uzi ni mrefu sana majibu ya maswali yako yapo humu. Kuna kila kitu. Ww nenda CRDB waambie unataka wakuunganishe na huduma ya internet banking na pia wairuhusu akaunti yako kufanya miamala ya mtandaoni. Wao watakupatia fomu utajaza then after 3 days akaunti yako itaruhusiwa kufanya hiyo mimi. Ww utakachofanya ni unaingia paypal unaunganisha na akaunti yako ya crdb unakuwa umemaliza kazi mkuu. Mm natumia huduma hii na vitu nilivonunua vyote vimefika. Kuna nilivyonunua china, kuna marekani na Uk. Pia kuna softwares nimenunua na mambo yapo safi tu. Karibu ulimwengu wa digitali mkuu. Anuani unayotumia ni ile ambayo ungependa mzigo wako ufike mkuu mm huwa natumia anuani ya ofisini kwangu (wizarani) na vitu huwa vinafika mpaka kwenye dawati langusasa jamani mm naomba kujua kitu kidogo kwa mfano ninayo account ya crdb nitatakiwa kwnda kuwaomba crdb kunifanyia registration ya paypal au........? nakama na fanya mwenyewe saaawa je postal kadi kama sina naweza tumia ya sehemu yeyote kwaaanae fahamu saamahani naomba kujua jamani
Mkuu huu uzi ni mrefu sana majibu ya maswali yako yapo humu. Kuna kila kitu. Ww nenda CRDB waambie unataka wakuunganishe na huduma ya internet banking na pia wairuhusu akaunti yako kufanya miamala ya mtandaoni. Wao watakupatia fomu utajaza then after 3 days akaunti yako itaruhusiwa kufanya hiyo mimi. Ww utakachofanya ni unaingia paypal unaunganisha na akaunti yako ya crdb unakuwa umemaliza kazi mkuu. Mm natumia huduma hii na vitu nilivonunua vyote vimefika. Kuna nilivyonunua china, kuna marekani na Uk. Pia kuna softwares nimenunua na mambo yapo safi tu. Karibu ulimwengu wa digitali mkuu. Anuani unayotumia ni ile ambayo ungependa mzigo wako ufike mkuu mm huwa natumia anuani ya ofisini kwangu (wizarani) na vitu huwa vinafika mpaka kwenye dawati langu
Mm huwa natumia posta na huchukua wiki tatu mpaka nne mzigo kunifikia. Option ya shiping mtakubaliana na muuzaji mwenyewe maana kuna njia nyingi kuna UPS, USPS, FEDEX etc. Ukichagua hiyo DHL Utaleletewa mpaka Iringa watakupigia simu kujua ofisi yako watakuletea kama kwako hapafikiki watakuelekeza kwenye ofisi yao au kwa ajenti wao ukachukue. It is simple. Unachotakiwa ujue ni kuwa hizo njia za shiping like dhl et al huwa ni gharama sana kusafirisha mzigo ni kama vile EMS ukitumia posta. Kuna barua nilikuwa nataka kutuma Geneva Uswisi aiseee nilitoka nduki maana niliambiwa ni TZS 65,000! Hiyo ni barua tu je vifurushi vikubwa utaweza mkuu? Ndio maana wengine tunakimbilia posta kwa njia ya registered international mailSasa mkuu mimi nipo Iringa, unasafirisha kwa dhl au posta? Maana huku kwetu dhl ndiyo iko poa.
Asnte sana maana nimetoka KCB leo nimeambiwa wao fee yao ni $66 nilishangaa sana inabidi nifungue acc CRDB tena kesho mapema tuu nafanya ivoKumbuka kuwa CRDB wanapiga online transaction fee ya 22,000/=
uwe umefanya 1 au 100
Hakikisha email unayoitumia paypal usiitumie for other registration kama fb etc phinshing nyingi
Wala usi expose popote wajanja wengi
Maana mm juzi juzi njunwawamavoko@gmail ilikuwa hijacked na ilikuwa ndo ya Payza ivo hata Payza alisema forgot passwd na akatumiwa kwenye inbox na akafuta
Mwisho kabisa rejea uzi wangu unaaema "hivi eBay ni genuine market Place?"
Nilianzisha sababu niliona iPhone 5 inauzwa 14.99$ na Mac book 24.99$
vitu hivi nilivinunua na baada ya masaa nilipokea email inasema "items # so and so have been removed" if u arleady made payment go to resolution center
Item ilikuwa inauzwa na mchina na hakuwa na reputation hata moja
Nilifungua case moja eBay na nyingine PayPal, moja nilifungua paypal sababu item reseller hakui mark as paid
Fortunately nilipewa refund na unfortunately sikuwai kuiona kwenye bank statement na nilipotezea
ENJOY
Mm huwa natumia posta na huchukua wiki tatu mpaka nne mzigo kunifikia. Option ya shiping mtakubaliana na muuzaji mwenyewe maana kuna njia nyingi kuna UPS, USPS, FEDEX etc. Ukichagua hiyo DHL Utaleletewa mpaka Iringa watakupigia simu kujua ofisi yako watakuletea kama kwako hapafikiki watakuelekeza kwenye ofisi yao au kwa ajenti wao ukachukue. It is simple. Unachotakiwa ujue ni kuwa hizo njia za shiping like dhl et al huwa ni gharama sana kusafirisha mzigo ni kama vile EMS ukitumia posta. Kuna barua nilikuwa nataka kutuma Geneva Uswisi aiseee nilitoka nduki maana niliambiwa ni TZS 65,000! Hiyo ni barua tu je vifurushi vikubwa utaweza mkuu? Ndio maana wengine tunakimbilia posta kwa njia ya registered international mail
Mm huwa natumia posta na huchukua wiki tatu mpaka nne mzigo kunifikia. Option ya shiping mtakubaliana na muuzaji mwenyewe maana kuna njia nyingi kuna UPS, USPS, FEDEX etc. Ukichagua hiyo DHL Utaleletewa mpaka Iringa watakupigia simu kujua ofisi yako watakuletea kama kwako hapafikiki watakuelekeza kwenye ofisi yao au kwa ajenti wao ukachukue. It is simple. Unachotakiwa ujue ni kuwa hizo njia za shiping like dhl et al huwa ni gharama sana kusafirisha mzigo ni kama vile EMS ukitumia posta. Kuna barua nilikuwa nataka kutuma Geneva Uswisi aiseee nilitoka nduki maana niliambiwa ni TZS 65,000! Hiyo ni barua tu je vifurushi vikubwa utaweza mkuu? Ndio maana wengine tunakimbilia posta kwa njia ya registered international mail
Inategemea umenunua bidhaa gani, yenye ukubwa kiasi gani na thamani gani. Mm sijawahi kukatwa ushuru na kitu cha gharama kubwa nilichowahi nunua ni Iphone ya TZS 270,000. Vitu vingine ni vitu vidogo vidogo. Ukinunua kitu kikubwa au cha gharama kubwa natumaini lazima ulipe ushuruHivi ushuru wanakata hawa watu wa TRA?
Inategemea umenunua bidhaa gani, yenye ukubwa kiasi gani na thamani gani. Mm sijawahi kukatwa ushuru na kitu cha gharama kubwa nilichowahi nunua ni Iphone ya TZS 270,000. Vitu vingine ni vitu vidogo vidogo. Ukinunua kitu kikubwa au cha gharama kubwa natumaini lazima ulipe ushuru
Mi nilianza kwa kununua flash disk kama majaribio ilivofika ndio nikaanza kununua vitu vingine. Sasa hivi nishakuwa mzoefu huwa nanunua ebay na amazon. Ila amazon hawatumii paypal ila ni website ya kuaminika.Ok, shukrani mkuu. Yani hapo umenifungua macho. Nitajaribu kakitu kadogo nione.
Mi nilianza kwa kununua flash disk kama majaribio ilivofika ndio nikaanza kununua vitu vingine. Sasa hivi nishakuwa mzoefu huwa nanunua ebay na amazon. Ila amazon hawatumii paypal ila ni website ya kuaminika.
Boss io flash ulivojaribu kuagiza hukukatwa ela ya online transaction kupitia bank yako?Mi nilianza kwa kununua flash disk kama majaribio ilivofika ndio nikaanza kununua vitu vingine. Sasa hivi nishakuwa mzoefu huwa nanunua ebay na amazon. Ila amazon hawatumii paypal ila ni website ya kuaminika.
Mimi hayo sijawahi kuyaona kwa CRDB, labda wanakata kwa mwaka mara moja.Boss io flash ulivojaribu kuagiza hukukatwa ela ya online transaction kupitia bank yako?
Kwa kweli kwa ufahamu wangu DHL ukipitisha mzigo huko lazima upitie Custom waukague kisha wanakulima kodi. Kama nataka kununua kitu sasa hivi nakuwa mpole kusubiri kwa wiki kadhaa ila napata mzigo wangu kupitia posta, no makato no nini.Mm huwa natumia posta na huchukua wiki tatu mpaka nne mzigo kunifikia. Option ya shiping mtakubaliana na muuzaji mwenyewe maana kuna njia nyingi kuna UPS, USPS, FEDEX etc. Ukichagua hiyo DHL Utaleletewa mpaka Iringa watakupigia simu kujua ofisi yako watakuletea kama kwako hapafikiki watakuelekeza kwenye ofisi yao au kwa ajenti wao ukachukue. It is simple. Unachotakiwa ujue ni kuwa hizo njia za shiping like dhl et al huwa ni gharama sana kusafirisha mzigo ni kama vile EMS ukitumia posta. Kuna barua nilikuwa nataka kutuma Geneva Uswisi aiseee nilitoka nduki maana niliambiwa ni TZS 65,000! Hiyo ni barua tu je vifurushi vikubwa utaweza mkuu? Ndio maana wengine tunakimbilia posta kwa njia ya registered international mail
Mkuu nimejaribu kununua vitu amazon nimeshindwa kabisa, ukichagua unaambiwa hawatumi kwenye destined country ie Tanzania. Hebu niambie nipate kujua wewe unafanyaje?Mi nilianza kwa kununua flash disk kama majaribio ilivofika ndio nikaanza kununua vitu vingine. Sasa hivi nishakuwa mzoefu huwa nanunua ebay na amazon. Ila amazon hawatumii paypal ila ni website ya kuaminika.
Kwa kweli kwa ufahamu wangu DHL ukipitisha mzigo huko lazima upitie Custom waukague kisha wanakulima kodi. Kama nataka kununua kitu sasa hivi nakuwa mpole kusubiri kwa wiki kadhaa ila napata mzigo wangu kupitia posta, no makato no nini.