Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Wakuu, Nina sign up PayPal account ila nikijaza kwenye kibox cha address inaniandikia ADDRESS INVALID, Nini tatizo? Au natakiwa kujaza address ya aina gani? Naombeni na mfano wa address
 
I received my second delivery, thanks to all of you members of JF.

Samahan kiongozi. Unaweza kunielezea ulivyofanikisha kupata mizigo yako.
Sababu mm nilifanya manunuzi mwaka jana mwezi wa pili mpaka leo sijapata mzigo wangu. Hali hii imenikatisha tamaa kwa kweli.
Nilijaribu kumwambia seller anipatie trucking number akasema trucking number inatolewa kwa mzigo ulio na gharama kuanzia dola 50.
Naomba uzoefu wako ndugu.
 
Hicho kifaa ulinunua wapi na bei gani,mimi nimewahi nunua power bank na saa zote zilikuwa chini ya $50 na nilipewa track number.Huyo seller alikuwa na feedback rattings kiasi gani?
 
Hicho kifaa ulinunua wapi na bei gani,mimi nimewahi nunua power bank na saa zote zilikuwa chini ya $50 na nilipewa track number.Huyo seller alikuwa na feedback rattings kiasi gani?

Ilikua ni shaver ya ndevu kutoka china ya $20 Na huyo seller alikua na feedback rating 97
 
Samahan kiongozi. Unaweza kunielezea ulivyofanikisha kupata mizigo yako.
Sababu mm nilifanya manunuzi mwaka jana mwezi wa pili mpaka leo sijapata mzigo wangu. Hali hii imenikatisha tamaa kwa kweli.
Nilijaribu kumwambia seller anipatie trucking number akasema trucking number inatolewa kwa mzigo ulio na gharama kuanzia dola 50.
Naomba uzoefu wako ndugu.
Mkuu hata mzigo wa dola 5 unapatiwa tracking number. Umewataarifu ebay, seller anasemaje ulivyomwambia hujapata mzigo. Jina la seller ni nabi
 
Wakuu habar,nahitaj msaada kwa mfano nimenunua cm online kupitia ebay hiyo cm nitaipokelea wap?? Au nakua najaza kabisa sehem ambayo nitapokelea?? Mfano kama ni sanduku la posta au bandalini??
 
Daah sasa haya majanga nimependa kitu lakin nashindwa kuagiza kisa sina sanduku la posta
 
jamani msaada wenu,nmb nao wameanzisha master card,ss nimeenda kufungua na mimi account ya master card ila nilipowauliza kuhusu kujisajili na manunuz ya online wameonyesha kutofahamu chochote,sasa sijui watakuwa hawajaianzish hiyo huduma ama?kuna mtu anayeelewa mfumo wa nmb ukoje?
 
Sio lazima uwe na sanduku la posta unaweza ukawatumia forwarding companies wakakusafirishia kupitia DHL, FEDEX , USPS Express sema utaitajik kulipia gharama za kusairisha kwa makampuni hayo
 
Unaweza kutumia box la mtu mwingine. Unaiingiza kwenye billing na shipping address.
 
Back
Top Bottom