Elections 2010 JF's Maxence LIVE on EATV "Uchaguzi Express Live"

Let me tel u buddyz,

Am home i do move here and there within TZ,
Wana JF, Most of ma fellow Tanzanians wako na woga, na kutokuwa na upeo wowote na kutojiamini, ni kuwa wapo wapo tuuu na wamejawa na manung'uniko tele ndani ya mioyo yao na njaaaa zikiwasumbua na kutoka na mfumo wa serikali yetu unaweza sema ni serikali ya kibabe kwani ukidai haki yako unaaambiwa wataka kuvunja amani ya nchii hii which mean viongozi wa nchi hii wao ndio wanajiona ndio watawala wa alfa na omega.

Ndani ya CCM kuna watu wamechoshwa na haya matatizo ya kila siku ila sauti yao ni wapi pa kuitole kwani wanajawa na woga wa kuuuliwa kimiujiza kwani katika nchi hizi za kimaskini ukiuwawa tu utasingiziwa ni majambazi au chochote kile. Democrasi bado saaaana ndini ya nchi hii ingawa inakuja ila inatakiwa ibadilike at once then nchi itakuwa pazuri.

Ndio siku chache nami katika kuwashawishi watu ndio husoma jamii forums ila kwa uwoga wakijua atai watakuwa tracked. let them do kwani hawawezi zuia mvua kunyesha.

No. Sema wapo wenzako wa Chadema waoga. Ila si kweli kwamba kila mmoja ni Chadema. Chadema ni fraction of the majority. Mikiongea wanawasikiliza tu Siyo kwamba ni waoga
 
kwa umbumbumbu wake maxence ameshindwa kuwaambia watanzania kuwa hii jamii ni ya wachadema....! na kipindi kimeshaisha...!

Mkuu naona umeni-quote vibaya, niliposema ninamkumbuka Superman nilimaanisha jina la Member ambaye huwa anajitahidi ku-post yanayoendelea kwenye TV kwa hiyo hata wale ambao hatuoni kipindi hicho tunakuwa tunaelewa kinachoendelea. Sijaona connection yoyote kati ya post yangu na maneno uliyoyasema kuhusu Maxence. Nimekuwa disappointed.

Pia unatakiwa kuelewa kwamba members wa JF wanaotumia majina yao halisi hapa kwenye forum ni mapenzi yao na hawakutaka kujificha nyuma ya keyboard. Wako wana CCM wengi sana ambao wanatumia majina bandia ni wagombea Ubunge kupitia CCM. Pia wapo ambao wanatumia majina yao halisi kama Dr. Kigwangala. Akina Mwakyembe, Bashe, Nape Nnauye, Januari Makamba, na wengineo wengi sana wako hapa wanatumia majina ya bandia. SO, kusema kwamba JF ni ya CHADEMA it is wrong. Inawezekana kuna viongozi wengi sana wa CCM kuliko hata hao wana-CHADEMA wachache uliowataja.
 
Hata Balantanda ni mwanaCCM pia............bila kumsahau mtaalamu Kibunango(Kibs)...........Kuna watu huwa wanaishiwa hoja aisee...Dawa yao ni kuwaacha,usiwajibu
 
Mkuu naona umeni-quote vibaya, niliposema ninamkumbuka Superman nilimaanisha jina la Member ambaye huwa anajitahidi ku-post yanayoendelea kwenye TV kwa hiyo hata wale ambao hatuoni kipindi hicho tunakuwa tunaelewa kinachoendelea. Sijaona connection yoyote kati ya post yangu na maneno uliyoyasema kuhusu Maxence. Nimekuwa disappointed.

Pia unatakiwa kuelewa kwamba members wa JF wanaotumia majina yao halisi hapa kwenye forum ni mapenzi yao na hawakutaka kujificha nyuma ya keyboard. Wako wana CCM wengi sana ambao wanatumia majina bandia ni wagombea Ubunge kupitia CCM. Pia wapo ambao wanatumia majina yao halisi kama Dr. Kigwangala. Akina Mwakyembe, Bashe, Nape Nnauye, Januari Makamba, na wengineo wengi sana wako hapa wanatumia majina ya bandia. SO, kusema kwamba JF ni ya CHADEMA it is wrong. Inawezekana kuna viongozi wengi sana wa CCM kuliko hata hao wana-CHADEMA wachache uliowataja.

Keil,

Huyu Suley anahitaji maombi ... muonee huruma
 
duuh... kumbe ki Max chembamba namna hiyo...?!!! mi nilifikiri ni mbonge la mtu!! :))
 
JF ina wanachama elfu ishirini na kitu...na kati yao wapo wengi tu wenye majina tofauti tofauti. Kuna wengine wala hawachangii mada kabisa tokea wajiunge. Kwa hiyo JF wala siyo chachu ya mabadiliko kama ambavyo wengi wanatamani iwe.
 
duuh... kumbe ki Max chembamba namna hiyo...?!!! mi nilifikiri ni mbonge la mtu!! :))

Anahitaji kuwekwa kwenye high protein diet huyo...
weightgainvan.jpg
 
au dozi yake ya mtori iongezwe kidogo na kuwa mara tatu kwa wiki, pia apunguze kushinda jf akifukuzana nanyi kuwalima server ban!!! lol

Heheheheee...halafu wewe nawe nimesikia nyepesi nyepesi kuwa uko moderator kama alivyo Mwanakijiji....

Na ikifutwa hii post nitajua ni aidha wewe au Mwanakijiji ndio mmeifuta lol
 
Heheheheee...halafu wewe nawe nimesikia nyepesi nyepesi kuwa uko moderator kama alivyo Mwanakijiji....

Na ikifutwa hii post nitajua ni aidha wewe au Mwanakijiji ndio mmeifuta lol

mimi nikishika rungu hilo haki ya nani tena mtakoma... yaani ningekuwa nabonda watu kwa server ban kama sina akili nzuri vile... looool
 
mimi nikishika rungu hilo haki ya nani tena mtakoma... yaani ningekuwa nabonda watu kwa server ban kama sina akili nzuri vile... looool

Hebu nenda kule kwenye malalamiko na pongezi ukachangie mada niliyoianzisha sekunda chache zilizopita
 
nafikiri kwa hili la kwenda kujitaja eatv litawasaidia kidogo'ila siku nyingine mkituma wawakilishi wapeni tahadhari wasije kukurupuka kama maxence leo kutaja akina mnyika kuwa ni washirikii wakuu anweza akajikuta anabaki na haohao tu kwani watu wameshazoea story zao na wanataka stori mpya...! kuweni makini mara nyingine....!

Max hawakilishi mawazo ya wanaJF..Yes yeye ni founder na anaweza kuwa Chadema (Kama anaipenda sioni tatizo) lakini kutoa kauli za jumla kwamba JF ni Chadema unakuwa unaufunua upumbavu wako badala ya kuuficha. JF inawana chama wa kila namna, kuanzia wasabato masalia, al qaeda, mpaka waabudu mizimu..wapo wana Chadema, CCM mpaka akina sisi tusiotaka kusikia chochote kuhusu siasa...

Sasa kutuweka sote ktk kapu la CHADEMA ni kuonesha huna upeo kuhusu JF na unayo tabia ya kutoa majumuisho marahisi bila ya kuwa na facts.
 
Hivi hiki kipindi huwa hakirudiwi?

Kinarudiwa kesho jumanne saa nane kamili mchana na kama ukikosa jumapili saa sita na nusu mchana
Wakuu kumradhi, ilikuwa kipindi hicho wawepo Synovate, nilichotarajia tujadili sicho kilichojadilika hivyo ikabidi twende kadiri inavyowezekana na kuongea na vijana kupitia TV ya vijana EATV.

Hii leo saa 4 asubuhi nitakuwa East Africa Radio; hapa natambua naongea na watu wazima wengi na si wa Tanzania pekee bali na wale wa Kenya na Uganda wamo.

Kuna vitu nimeona kuwa itabidi tuvifanyie ufafanuzi:

  1. JF inatembelewa na watu si pungufu ya 12,000 kwa siku; watu hawa wanaoitembelea si watu wa kupenda siasa tu, si watanzania tu n.k. Aidha kila mmoja anakaa ndani ya JF kwa wastani wa dakika 15 akiiperuzi (huu si muda mdogo). Kwa mwezi (August stats) JF inapata hits milioni 60+
  2. Asilimia 67.2 ya watembeleaji wa JF ni kutoka Tanzania
  3. Watumiaji wa JF mpaka sasa walio wengi ni umri wa miaka 25 na kuendelea mpaka miaka 44, wengi ni wahitimu wa vyuo walau.
  4. JF ipo ranked kuwa ndani ya tovuti 35,000 (nafasi ya 34,225 hadi hii leo) kutembelewa sana ulimwenguni (tembelea Alexa - Jamiiforums.com Site Info ) na ni ya kwanza Tanzania kuwa na wasomaji wengi (japo Alexa huwa hawaandiki hilo, unaweza kujaribu mwenyewe kulinganisha na tovuti nyingine)
  5. JF ni user generated content website. Kila anayejisajili anaweza kuanzisha hoja na ikajadiliwa (kama inajadilika) na registration ipo huru kwa kila mmoja
  6. JF si mali ya CHAMA wala MTU flani, hoja zilizoandikwa na watu zinamilikiwa na watu hao zikisimamiwa na waendeshaji wa JF. Kila mwana JF ni mmiliki wa alichokiandika, anapata uwezo wa kuki-edit au kukiondosha anapoamua. Ukiwa mwanachama na ukashiriki mjadala wowote unakuwa umejiweka katika familia ya wana JF.
Sidhani kama nilikosea kuwataja baadhi ya wanachama wenye kutumia majina yao halisi bila kujali wapo chama gani; nakumbuka nilimtaja Nape, nadhani nilimsahau Bashe pia, hawa tunao ni jambo la heri kuwa wapo tayari kwa debate.

Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake, kila mmoja anavyoona inastahili, tunayazingatia. Tunachofanya ni kuiangalia mijadala isiharibiwe kwa kuzingatia sheria tulizojiwekea.

Kwa wale wanaoi-access JF via mobiles endapo kutakuwa na matatizo (test period) tunaomba tufahamishwe ili turekebishe kabla hatujaja na kitu kipya Oktoba hii.

Shukrani wakuu
 
Maxence umefanya jambo jema kuipeleka JF kwenye mijadala ya wazi. Sasa wasubiri watakapoifahamu vyema JF na what is inside watajuta kwa nini hawakuifahamu mapema.

Tuendelee kuelimisha umma wa watanzania waipende na kuipa nafasi ya kwanza nchi yao.

Pamoja tunapanda
 
Back
Top Bottom