Elections 2010 JF's Maxence LIVE on EATV "Uchaguzi Express Live"

Wakuu, sisi tulio mbali tunakosa uhondo.
PLS tuwekee updates wanachozungumza huko
 
Wanazungumzia uchaguzi, Max ameulizwa JF imetumikaje na vijana na mifano gani, akawataja Zitto. Mnyika na Nape kama watumiaji muhimu wanasiasa wa sasa. Sasa anazungumza na kuseama kuna wasiwasi JF kama wanaoshiriki katika kempeni wamejiandikisha
 
Hapa ndipo ninapomkumbuka Superman ... maana angekuwa anaishusha LIVE.
 
kwa umbumbumbu wake maxence ameshindwa kuwaambia watanzania kuwa hii jamii ni ya wachadema....! na kipindi kimeshaisha...!
 
Wanazungumzia uchaguzi, Max ameulizwa JF imetumikaje na vijana na mifano gani, akawataja Zitto. Mnyika na Nape kama watumiaji muhimu wanasiasa wa sasa. Sasa anazungumza na kuseama kuna wasiwasi JF kama wanaoshiriki katika kempeni wamejiandikisha

Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya members wa JF hawapo Tanzania,wako nje ya nchi na mengi yanayozungumzwa na kujadiliwa ndani ya JF huishia humu humu JF....JF ni darasa tosha sana kwa wa Tanzania,tatizo ni kwamba haijulikani....Nikiwa Tanzania nilijaribu kuwauliza baadhi ya watu tu kuhusu JF wengi wanasema hawaijui,sana sana wanachojua ni facebook,Michuzi,yahoo n.k................JF ijitangaze sasa............Inaweza kuwa na mchango mkubwa sana kwa Taifa letu mbeleni
 
Max sio mbumbumbu kama unavyodai. Jamaa ni clever kinoma
Sana sana umedhihirisha UPUMBAVU wako badala ya kuuficha
 
Max oekee ndiye kazungumza point, wengine duh!! Jamaa wa IFM amesema eti Halima Mdee alikosea ktk uzinduzi wake wa kamoeni Kawe akamsema mgombea wa CCM badala ya kuelezea sera na Mwingine akasema alifurahishwa na ahadi za JK khusu kufufua viwanda lkn same person akasema kuna mgombea ameahidi elimu bure ambalo hakitekelezeki... Lkn baadae akasema ikiwezekana itakuwa vyema!!!!
 
kwa umbumbumbu wake maxence ameshindwa kuwaambia watanzania kuwa hii jamii ni ya wachadema....! na kipindi kimeshaisha...!

Mkuu kwani ni lazima uchangie, wakati mwingine soma na uishie zako kuliko kuweka uharo!
 
kwa umbumbumbu wake maxence ameshindwa kuwaambia watanzania kuwa hii jamii ni ya wachadema....! na kipindi kimeshaisha...!

Kwa "elimu" yako ya reverse bado uko humu, na TBC1 ya Chadema na CUF ndio maana CCM wameikacha midahalo wanasubiri taarifa zinazochakachuliwa!!! Ama kweli akili ni nywele, sie wenye vipaara tulie
 
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya members wa JF hawapo Tanzania,wako nje ya nchi na mengi yanayozungumzwa na kujadiliwa ndani ya JF huishia humu humu JF....JF ni darasa tosha sana kwa wa Tanzania,tatizo ni kwamba haijulikani....Nikiwa Tanzania nilijaribu kuwauliza baadhi ya watu tu kuhusu JF wengi wanasema hawaijui,sana sana wanachojua ni facebook,Michuzi,yahoo n.k................JF ijitangaze sasa............Inaweza kuwa na mchango mkubwa sana kwa Taifa letu mbeleni

Mkuu nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa sana. Nami pia nilifika nchini nikitegemea upepo wa kisiasa upo kama unavyosikika hapa JF. Kiuhalisia wananchi ambao wengi ni wapiga kura hawana hata habari ya kitu gani kinachoendelea. Tena basi, watu wanaopita JF wako informed zaidi kuliko hata hao waliopo Tanzania.
 
nafikiri kwa hili la kwenda kujitaja eatv litawasaidia kidogo'ila siku nyingine mkituma wawakilishi wapeni tahadhari wasije kukurupuka kama maxence leo kutaja akina mnyika kuwa ni washirikii wakuu anweza akajikuta anabaki na haohao tu kwani watu wameshazoea story zao na wanataka stori mpya...! kuweni makini mara nyingine....!
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa sana. Nami pia nilifika nchini nikitegemea upepo wa kisiasa upo kama unavyosikika hapa JF. Kiuhalisia wananchi ambao wengi ni wapiga kura hawana hata habari ya kitu gani kinachoendelea. Tena basi, watu wanaopita JF wako informed zaidi kuliko hata hao waliopo Tanzania.

Let me tel u buddyz,

Am home i do move here and there within TZ,
Wana JF, Most of ma fellow Tanzanians wako na woga, na kutokuwa na upeo wowote na kutojiamini, ni kuwa wapo wapo tuuu na wamejawa na manung'uniko tele ndani ya mioyo yao na njaaaa zikiwasumbua na kutoka na mfumo wa serikali yetu unaweza sema ni serikali ya kibabe kwani ukidai haki yako unaaambiwa wataka kuvunja amani ya nchii hii which mean viongozi wa nchi hii wao ndio wanajiona ndio watawala wa alfa na omega.

Ndani ya CCM kuna watu wamechoshwa na haya matatizo ya kila siku ila sauti yao ni wapi pa kuitole kwani wanajawa na woga wa kuuuliwa kimiujiza kwani katika nchi hizi za kimaskini ukiuwawa tu utasingiziwa ni majambazi au chochote kile. Democrasi bado saaaana ndini ya nchi hii ingawa inakuja ila inatakiwa ibadilike at once then nchi itakuwa pazuri.

Ndio siku chache nami katika kuwashawishi watu ndio husoma jamii forums ila kwa uwoga wakijua atai watakuwa tracked. let them do kwani hawawezi zuia mvua kunyesha.
 
Back
Top Bottom