JF Udaku: Toleo la Mei 2012

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,516
11,278
Pendekeza ni habari gani ziwepo. Zifuatazo ni habari ambazo zitapewa kipaumbele:

--Ni mwaka wa Vibabu vya JF,, wengi wakiri kulizwa:
-Yupo Mod Maarufu wa Kike.
-Smile naye alilia penzi la Kibabu kijijini.
-Kimwana manywele wa Jei Efu aapa kujipa life Ban baada ya Kibabu kumlaghai na kisha kuingia mitini.
-Babu Asprin, Bishanga, DC watajwa.

--Baada ya JK kutangaza nia ya kuvunja Baraza la Mawaziri:
-Babu Asprin ajifanya mtaalmu wa kusafisha nyota.
-adai anatoa pete ya kumfanya mtu kuwa waziri.
-watu maarufu kibao wafurika nyumbani kwake.
-Yumo pia Mzee Mwanakijiji.

--Mtakatifu Ivuga amsababishia Mwali kulala Selo, ni baada ya kukopa Gongo ya mama muuza na kisha kuingia mitini. Mwali aapa kujivua pendo.

--Baada ya kugundua kuwa Amyner ni dada yake toka nitoke, Bagah ampigia magoti Erick52 apunguze tabia yake ya ukware. Yasemekana wanafahamiana jinsi wanavyoharibu watoto wa watu.

--Baada ya kuonjeshwa penzi la Cantalisia, Mphamvu aapa kumpindua Rejao. Canta akesha akiomba kikombe hiki kimpite pembeni, Rejao aapa kumshusha mtu Busha.

--Lile sakata la Vibabu vya Jei Efu laibua sura mpya. Vibibi navyo vyaapa kulipiza kisasi na vijana wa Jei Efu. Loya Klorokwin achekelea.

--Imegundulika: kumbe Golden Mpolee ni Dume, yasemekana ni fundi Gereji pale Tabata. Mwenyewe aingia mitini baada ya siri kufichuka. --Ban la Lizzy laleta mzozo, ni Baada ya Nyara za Serikali Ngabu na Bishanga kutaka kuzipiga hadharani.

--Mtu Chake alia kuteswa na Preta. Adai kila siku anapigwa na wakati mwingine analala njaa. Atoa wito zianzishwe Asasi za kutetea haki za wanaume.

Mapendo.
TANMO
 
Kongosho
. . Konnie afumaniwa live, ni baada ya kubogewa na kibuzi hivyo kusahau kuchukua tahadhari.

TANMO
. . . ajikuta matatani kwa kutoa habari zisizo rasmi kumhusu Nyani Ngabu na Bishanga. Wenyewe wadai hawawezi kumgombani Lizzy!!

klorokwini
Kwa mara kwanza lawyer maarufu wa JF ajikuta matatani, ni katika harakati za vibabu vya JF kujiosha na "It wasn't me" baada ya bpmu alilolipua Husninyo.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kumaliza kifungo (BAN) Lizzy Aapa kuwa Raia mwema wa JF. Asema aliyoyaona huko ni balaa!
 
Last edited by a moderator:
Kongosho . . Konnie afumaniwa live, ni baada ya kubogewa na kibuzi hivyo kusahau kuchukua tahadhari. TANMO . . . ajikuta matatani kwa kutoa habari zisizo rasmi kumhusu Nyani Ngabu na Bishanga. Wenyewe wadai hawawezi kumgombani Lizzy!! klorokwini Kwa mara kwanza lawyer maarufu wa JF ajikuta matatani, ni katika harakati za vibabu vya JF kujiosha na "It wasn't me" baada ya bpmu alilolipua Husninyo.
Jei Efu Udaku Toleo la Mei lazua balaa. Inbox ya TANMO yajaa ghafla PM kutoka kwa Lizzy,, zote ni kumuomba TANMO asitoe habari zake kwa madai kwamba kuna Kabuzi amekapata. Ahofia kibuzi chake kumkimbia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom