Hahahahaha. Itabidi na mie niwe active member nipate mume lol.Nimepata mke humu jf..hshaaa
so in short imekusaidia kuwa nguli wa mapenzi au sio?imenisaidia kuwa strong katika mahusiano make mwanzoni mapenzi yalinitesa sana! saiv wee sibabaishwi. . .
imenisaidia kuitambua nchi yangu pamoja na viongozi wake
imenisaidia kutatua matatizo katika jamii, familia na mapenzi!
safi sana mkuu unajua kwenye maisha yetu tunahitaji changamoto na pia tunahitaji viburudisho....naamini vyote vinapatikana JFInanikosesha usingizi! Usiku silali muda wa kutosha kisa kusoma JF! Sometimes lile jukwaa la siasa hua linanipa stress sana! Chitchat inapunguza mawazo kichwani! Sitamani kuikosa JF!
Haaa mkuu inaonekana inakupa na stress sana...by the way misukule wapo kila mahali...Imenisadia kujuwa kuwa kweli kuna misukule wengi nchi hii.