JF Imekufanyia nini katika maisha Yako?

1. Ilinisaidia kupata mbinu za kumspy boyfriend wangu, nikagundua madem zake kama 8 hv na wote wako humu humu!
2. Imenifanya niwe na info nyingi sana kuhusu tz, na dunia kwa ujumla.
3. Kule MMU, huwa nacatch experience za watu so nimeweza kusolve mambo yangu ya kimapenzi na pia kuwapa ushauri wengne.
4. Imenifanya nijue wanawake wa Kimachame ndio hotest women in Tanzania, wanaogopwa na kupendwa hapo hapo! Am proud to be Machamenian! Teh!
Ni hayo tu kwa sasa!
 
Ushauri nlioupata JF umenipeleka jela wiki mbili baada ya kumcharanga uncle aliyetongoza wife wangu!

Wito chambua ushauri unaopewa hapa JF coz upo mzuri na wakishetani, akili kumkichwa usikurupuke lol!
TO BE HONEST JF IS EVERYTHING WAKUU
 
1. Ilinisaidia kupata mbinu za kumspy boyfriend wangu, nikagundua madem zake kama 8 hv na wote wako humu humu!
2. Imenifanya niwe na info nyingi sana kuhusu tz, na dunia kwa ujumla.
3. Kule MMU, huwa nacatch experience za watu so nimeweza kusolve mambo yangu ya kimapenzi na pia kuwapa ushauri wengne.
4. Imenifanya nijue wanawake wa Kimachame ndio hotest women in Tanzania, wanaogopwa na kupendwa hapo hapo! Am proud to be Machamenian! Teh!
Ni hayo tu kwa sasa!
 
JF imenisaidia kuanzisha mradi wa kufuga kuku wa kienyeji na kupelekea kuongeza kipato na kitoweo cha nyumbani.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
imenisaidia kuwa strong katika mahusiano make mwanzoni mapenzi yalinitesa sana! saiv wee sibabaishwi. . .
imenisaidia kuitambua nchi yangu pamoja na viongozi wake

imenisaidia kutatua matatizo katika jamii, familia na mapenzi!
 
ni mtandao kama mitandao mingine ya habari na kwa upande wangu jf ipo juu kidogo kwa kumpa kila member haki ya kutuma post anayotaka na kuchangiwa na washiriki waliobakia,uwazi,uhuru wa kuchangia,japokuwa kuna member wanaovuka mipaka kimtindo,ila kwa ujumla jf ni mtandao ambao hainipiti siku(kama sina dharura)bila ya kuufungua!!
 
nilikuwa napenda sana siasa nilipojiunga hapa nimekomaa na bado nazidi kujifunza na pia nimejua mengi juu ya nchi hii
 
JF ilinipatia imenipa gadget za ukweli kwanza ilinipatia BB halafu kupitia hapa nikanunua iphone. Kitaarifa, imenifanya taarifa zote ziwe kwenye finger tips zangu
 
Inanikosesha usingizi! Usiku silali muda wa kutosha kisa kusoma JF! Sometimes lile jukwaa la siasa hua linanipa stress sana! Chitchat inapunguza mawazo kichwani! Sitamani kuikosa JF!
 
imenisaidia kuwa strong katika mahusiano make mwanzoni mapenzi yalinitesa sana! saiv wee sibabaishwi. . .
imenisaidia kuitambua nchi yangu pamoja na viongozi wake

imenisaidia kutatua matatizo katika jamii, familia na mapenzi!
so in short imekusaidia kuwa nguli wa mapenzi au sio?
 
Inanikosesha usingizi! Usiku silali muda wa kutosha kisa kusoma JF! Sometimes lile jukwaa la siasa hua linanipa stress sana! Chitchat inapunguza mawazo kichwani! Sitamani kuikosa JF!
safi sana mkuu unajua kwenye maisha yetu tunahitaji changamoto na pia tunahitaji viburudisho....naamini vyote vinapatikana JF
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom