DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,084
- 45,724
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.
Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa.
Nilipotarget Kupata kile kitu ninaweka Affirmation au udhihirisho yaani I felt kile kitu Kama nimekipata na nikaandika katika diary yangu ya simu na. Kushukuru Sana.
Siku chache Kama wiki mbili kile kitu nimekipata Kama nilivyopanga.
So hapa nimegundua kuwa ili postive Affirmation ifanye Kazi unabidi kubalance Nguvu yako ya mtetemo vibration na frequency zako na ukijisikia muitikio basi soon as possible unapata unachokihitaji usifanye utani unajua ukifanya utani huwezi pata matokeo chanya lazima vibration na frequency ziendane.
Ulimwengu una Siri Sana there's a lot to learn in this world.