JF Football team

Duuh! Muhazini Mangi !
Sijui kama watakuelewa!
Nani aelewe? Atakuwa anakusanya mipira inayotoka nje

Hahahahahaaa ataweza mikiki ya mabeki wa timu pinzani?

Mamndenyi anaelewa hata futbo basi, anadhani Drogba anacheza netbo

Hahahahahaaa tatizo lako watu wameshindwa kujua kama ni dada au kaka so wanaogopa kupanga timu ya jinsia Mbili....
We kaa jukwaa la Ufundi kama ulivyokuwa umeomba mwanzo

Mie nimejichagua kuwa mmiliki wa timu, abromovich wenu.
Mkiniudhi nauza timu
 
Usije kuwa ulikuwa inaota jua ukadhani ndo kupasha moto viungo??
Na wasi wasi na kiswahili chako.

Na usiende kujibanika, subiri Ambitious atakuonesha jinsi ya kupasha viungo.

Mechi lini? Viungo vya ODM vimeshapashwa joto hapa....
 
Nani aelewe? Atakuwa anakusanya mipira inayotoka nje

Mamndenyi anaelewa hata futbo basi, anadhani Drogba anacheza netbo

Mie nimejichagua kuwa mmiliki wa timu, abromovich wenu.
Mkiniudhi nauza timu

Kuna haja gani uuze timu ? Si bora uuze wachezaji mahiri ?
Mf. Maziwa mtindi , Siasa wameanza kumrubuni kumnunua, ukijisikia kuuza anza nae !
 
Nani aelewe? Atakuwa anakusanya mipira inayotoka nje

Mamndenyi anaelewa hata futbo basi, anadhani Drogba anacheza netbo

Mie nimejichagua kuwa mmiliki wa timu, abromovich wenu.
Mkiniudhi nauza timu
Hahahahaaa uza samaki uje na mapesa sio vipesa
 
Naona kikosi cha kwenye kiibodi kishakamilika. Nasubiri cha uwanjani sasa, mimi ni super-sub, sijui kukokota, sijui chenga wala kutunishiana musuli, najua ku-position na kufunga tu, mwili wenyewe si mnauona jamani?
 
Hahahahaaaa shem sio mimi ni jamaa wenzake wa Jukwaa la Siasa ndo wamesema hafai kwa kuwa Chit-Chat wanaweza kumuhonga akaachia magori.....
Najua itawauma sana kukosa match ila hakuna tatizo wakati mwingine atashiriki...
Awapi,yani msipompa mme wangu namba mechi haitakuwepo,
Na hili ntalisimamia mie Ebo!
 
Hahahahahaaaa uje nacho hicho maana inaonekana match itakuwa ngumu sana

sikosi kaka siunajua mambo ya kupiga vita mwili uzembe nikumbushie vitu vyangu ka zizou siku brazil na france kudadek jasho la pua tu lantoka, huku wakina madame, ritta mis jud msituumiziee mi bichwa hilo naendeleza makamuzi.
 
Naona kikosi cha kwenye kiibodi kishakamilika. Nasubiri cha uwanjani sasa, mimi ni super-sub, sijui kukokota, sijui chenga wala kutunishiana musuli, najua ku-position na kufunga tu, mwili wenyewe si mnauona jamani?
Jaman swaiba upo?
Ww njoo jukwaan tuwashangilie tu wasije wakakuvunja bure mkeo akatuletea kesi hapa!
 
sikosi kaka siunajua mambo ya kupiga vita mwili uzembe nikumbushie vitu vyangu ka zizou siku brazil na france kudadek jasho la pua tu lantoka, huku wakina madame, ritta mis jud msituumiziee mi bichwa hilo naendeleza makamuzi.
Hahahahahaaaa usiniumizieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Naona kikosi cha kwenye kiibodi kishakamilika. Nasubiri cha uwanjani sasa, mimi ni super-sub, sijui kukokota, sijui chenga wala kutunishiana musuli, najua ku-position na kufunga tu, mwili wenyewe si mnauona jamani?
Teh we inakufaa namba 9 au 10....
Ukishindwa kabisa inabidi uwe kipa
 
Back
Top Bottom