JF Football team

Mme wangu yuko fullmassnondo,mazoezi nampa kila siku,
Na ni hodari wa kufunga magolo ya mbali na ya karibu.
Yeye najua yuko juu sana kwa match za 666666666 kwa 88888888
Lol huko ni kwa kuwa unampa zoezi sanaaaaa
 
Hapa wala hakuna cha umagamba wala makwanda,
Mechi haingalii hayo,mazoezi na ufundi wa kupiga mabao,
Na mie najua ni fundi hasa wa kufunga nawashangaa nyie badala mniulize mie lol!
Kwanza magamba wachache sana humu JF LOL
Ni familia yenu tu
 
Hahahahahaaa ukiona unanyamaza lol
Unataka kumpiga chini Rejao?
Hahaha hahhaah,
Haya nimenyamza shem!

Ushindwe na kulegea kbs,kamwe haitatokea kwa rejao ndio nimefika ebo?
Itabidi nikuulize vizuri maana sijajua unampango gani na ndoa yangu siku zote unaiombea mabaya tu!
 
Mme wangu yuko fullmassnondo,mazoezi nampa kila siku,
Na ni hodari wa kufunga magolo ya mbali na ya karibu.

Cantalisia hujambo mama?
hayo mazoezi yako una hakika yanaendana na futboli?
Manake mtu asijedondoka uwanjani na mi kadiaki aresti...
 
jamani niwekeni hata sub ya Jukwaa la siasa, natembea dimba kubwa balaaaaa! Chit-chat wajiandae vyanzu( kanzu ) vya kumwaga.
 
Cantalisia hujambo mama?
hayo mazoezi yako una hakika yanaendana na futboli?
Manake mtu asijedondoka uwanjani na mi kadiaki aresti...
Sijambo kbs swaiba,
Nina uhakika kbs,kwani kila siku tunacheza futiboli na kiwango chake kiko juu sana!
Wala hawezi kudondoka yuko imara sana,sema tu watu wanaleta majungu ya kwenye sihasa mpaka mpirani hapa!
 
Mmmmmmmmmmmm!hapo ngoja nitafakari kidogo,
But nijuavo mie yule akishika mpira ni mpaka wavuni hua hatoi pasi ati!!

duh..huyo kiboko...inaonekana rejao ni mwanariadhaa...

Hapo ashindwe mwenyewe lol
Mi nishaanza zoezi tayari

hapa kwangu tizi daily...
 
Sijambo kbs swaiba,
Nina uhakika kbs,kwani kila siku tunacheza futiboli na kiwango chake kiko juu sana!
Wala hawezi kudondoka yuko imara sana,sema tu watu wanaleta majungu ya kwenye sihasa mpaka mpirani hapa!

Kama unaamini ataiweza futiboli basi siyo mbaya, manake usije dhani u fit wa Bediboli ni garantii ya mtu kuiweza futiboli...
 
Back
Top Bottom