JF Football team

Footbal sipo labda niwe refa ila ukipanga ya basketball niwaze..

sawa sawa!napiga mbili na tatu bila shida(ofkoz my shooting sio kama zamani)ila nina pumzi na spidi ya kutosha sana tu kukimbia vya kutosha na kukava!

ila football,mbavu ya kulia na ya kushoto napiga freshi tu!
 
Namba moja maziwa ya mgando.
Namba mbili ODM
Namba tatu Bishanga
Namba nne Rejao
Namba tano EMT
Namba tano Babu DC
namba sita Nzi
namba saba Mbu
namba nane Bagah
Namba tisa Tanmo
Namba kumi Nyani Ngabu
Namba eleven The Finest

Reserves:
mtaly
Judgement
And son on

hii ndo timu yangu ya mpira hapa jf.

Washangiliani namba wani Husyn, mbishi huyu
na wengine wote sasa.

imekuwaje mie Simo humo!!!!!!??... mido wenu nani sasa
 
Dah Hii Timu kama Kweli Ipo Nikija Bongo lazima namie nipate Namba mchezaji wa ugenini au sio? lol Nije kupiga Madotchi Mpira wa ngozi alafu Mniazime kiatu kimoja cha kuchezea.
 
ha ha ha ha, umenikumbusha primary, watu wenye viatu wachache muda wa mpira inabidi kuvaa kiatu kimoja kimoja.

Utajikuta viatu vyote vimabadilika na kuwa vya mguu wa kulia.

Hahahahaahaaa halafu hagundui kama vimebadilika
 
Back
Top Bottom