Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 5,510
- 4,818
Huwajui "makirikiri"?!!Sasa hapa mbna haijafanana
Huwajui "makirikiri"?!!Sasa hapa mbna haijafanana
Pigeni marufuku kikokotoo., kinaua wastaafuJeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi.
Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja. View attachment 2688790
Hiyo sare inafanana na ya Jeshi lipi nchini?Huu ndio utapeli,utavyaaje sare za taasisi nyingine,kwa nini usibuni sare zako,zisizofanana na taasisi nyingine.
Wee jamaa kichwani mwako hamna kitu kabisa !Huu ndio utapeli,utavyaaje sare za taasisi nyingine,kwa nini usibuni sare zako,zisizofanana na taasisi nyingine.
Ningeshangaa chawa awe na akili timamuBasi kengeza anajiona hapo anaulinzi. Ningekuwa polisi huyu kengeza alipaswa awe lupango na tena amshukuru Dkt Samia, lilipaswa lihukumiwe kunyongwa gaidi kubwa
Hiyo ni sare ya jeshi lipi?Jeshi la polisi liko sahihi.....
Haiwezekani mlinzi binafsi akavaa vazi hili hapa....View attachment 2688798
Niambie hizo sare sinafanana na nguo ya jeshi lipi?Huu ndio utapeli,utavyaaje sare za taasisi nyingine,kwa nini usibuni sare zako,zisizofanana na taasisi nyingine.
Kututoa kwenye Bandari haiwezekaniHii yote ni walinzi wa mbowe
Mimi ni bonge la Chawa!Ningeshangaa chawa awe na akili timamu
Nongwa ilianzia hapaView attachment 2688792
Yure mupe yure murukeNongwa ilianzia hapaView attachment 2688792
Hahah, unaweza kudhani ni marubani wa jeshi vile wanavaa 😂😂😂Hata WASABATO?
Vyombo gani vya ulinzi.Hapa Tz hakuna vyombo vya ulinzi,Bali Kuna vyombo vya AJIRA.Acheni utapeli wa kuvyaa sare za vyombo vya ulinzi.