Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

Naamini watu wa kukamatwa kwanza ni mafisadi. Kwani mafisadi wameisha mpaka mtu awaze kishamba hivyo?
 
CDM ikichukua nchi 2015 itakuwa na kazi kubwa sana kulisafisha Jeshi la polisi!!!!
 
Soma post ya kwanza..

umefufuka ee,yaani vi ishu kama hvi ndo vnakuvuta nawewe angalau unachungulia jamvini na kusepa,mbona ujasiri wako umeyeyuka ghafla hvyo kwa kasi ya kuporomoka ccm
 
Badala ya kukamata wahalifu waliowakata mapanga wabunge wao wanashughulika na Dr Slaa. Nchi hii kichwa cha mwendawazimu kweli
Wamkamate mhalifu gani wakati ni polisi wenyewe ndiyo waliowakata mapanga wabunge wale? hili lakumkamata Dr. Slaa ni kupoteza lengo na kuwaweka watanzania busy wasijadili uozo uliomo serikalini na badala yake wajishughulishe na suala la kukamatwa mkombozi wa kweli wa wananchi. Jambo moja ni wazi, Kikwete na CCM yake watafute pa kukimbilia nchi itakapopata Uhuru kwa maana itawabidi kujibu kila ovu walilolifanya wakati wa himaya yao.
Haiwezekani tuwe na watu wanaotekwa nyara, kukamatwa ovyo, mapolisi kuwafyatulia risasi watu wasio na silaha na kuwaua, kuifilisi nchi n.k.kisha watanzania wawaache waende zao bila kuguswa.
 
Huwa nasikia polusi ndo wanaoanzisha vurugu nikawa siamini! Bt leo nimeelewa! Mkamatenii muone!
 
The police force should come clear on this because what happened in Mwanza shows how irresponsible the police force is in the region. it is high time they should state their position in the saga. I advise them to read signs of the collapsing ruling party. Shame on the RC.
 
Mbona Shigela alitoa kauli ya vitisho Arumeru akukamatwa zaidi ya kupigwa mkwara!Kunya anye kuku akinya bata kaharisha!
 
Barlow nimevumilia sana kwakuwa hutendi haki ngoja mtandao wa kijamii ukuvue nguo!!! Wana JF RPC Mwanza anamiliki MIMBA mzumbe university MBEYA campus kwa WP jina kapuni LLB2.
 
Wanajaribu kubinafsisha uelewa wa watz. They should never undermine the thinking of desperate fellow countrymen.
 
One Hand wash another hand and two hands wash a face!wewe na slaa nani anatafuta umaarufu?
 
Wanasubir nini? Kwnini wacmkamate kwanza ndo watangazie umma? Wanaomba public sympathy or what? They are like a donkey lived for 30 years whch hopes to be a horse one day!

hawa Polisi wetu wanajishughulisha na siasa zaidi kuliko kufanya kazi zao!! ndiyo maana vibaka wanachomwa moto maana kazi za kulinda raia na mali zao zimeachwa mikononi mwa raia wenyewena badala yake raia tunajichukulia sheria mikononi. Ole wao hao polisi tutakapo choka na kuamua kupambana nao!! tutashika mawe, mapanga na mikuki na wataona nani mshindi!!!
 
Back
Top Bottom