Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

Wathubutu kumkamata waone namna nguvu ya umma inavyofanya kazi.

Utaandamana wewe tu, by the way wacha wamkamate tu maana Slaa hafai hata kuwa kiongozi wa kuchunga mifugo yangu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Wanajidanganya hao watu!

Umesahau habari ya mkulu (baba mwanaasha) kwamba huu ni upepo utapita tu. sasa kwa ujinga wao wanazani hilo ndo ingizo jipya la cd sokoni ili wapate. aibu yenu magamba ila musisahau kwamba hicho ni kimbunga kikipita ama nyumba au mabati lazima yatoke (ref. mr sugu mjengoni). Siku zenu zinaesabika
 
kwa hali ya sasa hiyo ni wrong step kwa police ... hivi kumbe amani nayo huwa inachosha, ehn?
 
Ikulu imeweza tena kutumia jeshi la police kubadili upepo wa siasa unaovuma kwa sasa,police wameagizwa wamkamate Dr slaa ili watu wawe kwenye epsodi ya slaa waache ishu ya uwajibakaji.
 
Utaandamana wewe tu, by the way wacha wamkamate tu maana Slaa hafai hata kuwa kiongozi wa kuchunga mifugo yangu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Anayefaa ni yupi huyu KIkwete mwenye baraza la Mawaziri wezi,Mke anaye kwenda migodini kuomba michanga,mtoto anayeharibu UVCCM,KIkwete mwenyewe amei weka nchi rehani kakopa benki za biashara zidi ya amana walizonazo yaani nchi imefirisika hakuna pesa kwenye mzunguko, mfumuko juu ,wananchi wana tabu na kuteseka kuliko wakati wowote toka uhuru unawazimu weye
 
Ware jee historia ya Sauth Africa wataona kwamba Makaburu walipo amua kumkamata Nelsoni Mandela na kumuweka kizuizini katika gereza la Roben island ndokwanza waliamsha hisia za watu wa S.africa na kupelekea nchi kuto tawalika jambo lililo pelekea uchumi wa Makaburu kule S.Africa kushuka kuto kana na kutowena kwa amani pamoja na vikwazo walivyo wekewa kutokana na ukiukwaji wa hakizabinadamu hatimae Makaburu wakasarenda na Sauth Africa ikapata uhuru! Safari hii itakuwa ni Tanzania na ndipo uhuru wakweli utakapo patikana.
 
Mandela alikamatwa sembuse Slaa!
Haki na uhuru hupatikana kwa gharama.
Jeshi la polisi inapewa maelekezo na Mukama na wanatekeleza kwa uaminifu kweli!
 
Huu ni uwendawazimu mwingine tena wa jeshi la polisi.Ni aibu na fedheha kama wabunge wanashambuliwa na watu wanaofahamika,jeshi la polisi linakaa kimya bila kuchukua hatua,eti kwa kuwa tu watuhumiwa ni wa ccm
Kama ilivyo ccm,polisi nao wamepoteza dira na mwelekeo,kimsingi polisi hawana mamlaka ya kuamua ni kauli ipi ni ya uchochezi na ipi sio,ni lazima sasa wajifunze kuheshimu demokrasia,tofauti na hapo tutawafundisha
 
Polisi wote ni mbumbutu hawa na akili ndio mana wanatumia nguvu nyingi kuliko akili. NYAMBAFU WAKUBWA HAWA NGEDERE
 
Haya ya kumkamata Dr Slaa ni rahisi na kushinda mafisadi wanaojineemesha na Taifa letu la Maziwa na Asali!

Nirahisi sana na kushinda kumkamata mwekezaji anayejiwekeza Nchini na hata kudiriki kusema serikali ya Tz iko mfukoni mwake.
Ni rahisi kumkamata na hata kuwashinda mafisadi wanaowauza wanyama wetu hasa Twiga na wengine kwenda nchi ya wageni na serikali tawala ya mafisadi inabaki kuhanyahanya bila hata kujua ya kufanya ingali Waarabu wanabeba wanyama!

Leo Dr Slaa kawasema kwa ukweli halafu wanasema watamkamata,hebu wamkamate halafu tuwaone wanataka kumfanya nini!


mafisadi wa chama tawala ni JANGA LA WAZI KWA TAIFA letu jamani!
Na walaaniwe na hata vizazi vyao!
 
Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita. Polisi wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge wa chadema walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria. source: Star tv news

Ni lini Jeshi la Polisi litawakamata mawaziri wote waliotuhumiwa kuliibia/kulingizia hasara taifa? Ushahidi upo - report CAG inabainisha nani kafanya nini na kiasi gani kimepotea, sasa polisi wanasubiri nini au wako busy kusikiliza kauli za wanasiasa? Ni polisi hawa hawa waliosema kuwa watakamata wabunge waliovamiwa na 'majangili' badala kukamata majangili! Wanasimamia nini hawa polisi na hasa polisi mkoa wa Mwanza?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom