Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

Slaa wakimpigia simu anakwenda mwenyewe.
Hahitaji kukamatwa.
Wanajua Dr. Slaa ni rais wao akifika kituoni wanaanza kujichanganya, mara unajua mkuu tulihitaji busara zako, asante kwa kufika, utukumbuke katika ufalme wako!
 
duh, unaishi nchi gani bwana green guard??

mkuu ni lazima tumuenzi mwl nyerere kwa kupinga uvunjifu wa amani kwani hawa wapare na wachaga wanataka watuletee vita sisi tulozoea amani, alafu kuna muhuni mmoja eti huwa anasema " ni heri vita inayopigana kutafuta haki kulio amani inayopumbaza na kuzalilisha utu" hivi hii kauli si ya vita vita, inamana ni bora tz iwe kama somalia au sudani?
Kushabikia CDM ni kinyume na maneno matakatifu.
 
nadhani upo utumwani bwana green guard, usihofu tutakukomboa very soon?
 
Sitaongea lolote leo najijua.....ntapata ban nimewapenda wachangiaji wengi leo....
wanacheza na siku wakimuona dk slaa ameingia ikulu pale wajue wamekwisha watajuta kuwepo tanzania na kuzaliwa tz hapa,
 
nadhani upo utumwani bwana green guard, usihofu tutakukomboa very soon?

ila mkuu hii kazi nilopewa na kada m1 wa ccm ni ngumu sana kwani napata matusi na kila aina kejeli humu Jf but sito kata tamaa kukipigania chama changu humu jf ambapo watu wake wameathirika ubongo na huwaambii kitu kuhusu CDM.
Ila mwisho wenu CDM unakuja soon.
 
aliyekutuma atakufukuza muda si mrefu walikuwepo zaidi yako tena wenye hoja kweli,lakini leo hawaitamani jf.mkamia maji hayanywi!naona umeingia
 
wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na sheria.

Sheria gani hiyo inayotetea mambo au matatizo yasishughulikiwe haraka?
 
Hivi wana JF kuna mtu amewahi kutafakari hali ingekuwaje kama walioshambuliwa na kukatwa mapanga wangekuwa ni Wabunge wa CCM na wanaotuhumiwa kufanya shambulio hilo kwa hao waheshimiwa ni wana Chadema!

Hebu fikirieni ugeni ambao wangeupata wakiwa Hospitalini Muhimbili;

  • Raisi akifuatana na Waziri wa mambo ya Ndani, IGP na Usalama wa taifa na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ (Shimbo?)
  • Kamati Kuu ya CCM wakiongozwa na Katibu Mkuu Wilson Mkama na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
  • Spika wa Bunge akiandamana na Wabunge wote wa CCM wakifuatiwa na Wabunge wa Upinzani.
  • Katibu wa Baraza la Mawaziri akiwaongoza Mawaziri wote pamoja na Makatibu Wakuu wao.
  • Viongozi wa Dini na mashirika mbali mbali ya kidini.
  • Viongozi wa Mashirika ya Umma, taasisi za serikali na Makampuni binafsi.
  • Viongozi wa vituo vya habari na TV vikiongozwa na TBC na vituo vyote vya habari Zanzibar.
  • Na kadhalika...
Je kauli zao zingetofautiana na aliyotoa Dr. Slaa? Bila shaka tungesikia;

  • Kauli za viongozi mbalimbali wakiilaani Chadema kwa kuhatarisha amani na utulivu hivyo kuleta machafuko nchini.
  • Kutaka hatua za haraka zichukuliwe dhidi ya Chadema na ikiwezekana kukifuta na kuwakamata viongozi wake.
  • Kuitishwa kwa maandamano nchi nzima kikiongozwa na UVCCM dhidi ya vitendo vya kihuni kama vya wavuta bangi.
  • Kuitishwa kwa kikao cha dharura cha serikali na kuagiza hatua kali zichukuliwe ili iwe fundisho kwa wote wenye mawazo kama hayo.
  • Kumwagiza IGP na majeshi yote ya Usalama kuwasaka na kuwakamata waliomo na wasiokuwamo mradi wanatuhumiwa kuhusika na tendo hilo la kishenzi.
  • Na kadhalika...
Wakati haya yakifanyika, TBC ingepewa agizo moja tu, kuihamasisha jamii juu ya uovu wa vyama kama Chadema vinavyosukumwa na uroho wa madaraka. Na amini usiamini hili ndilo lingekuwa habari kubwa kwa wiki nzima au hata zaidi, lakini maadam Wabunge wenyewe walikuwa wa Chadema na wahusika walikuwa ni wakereketwa wa CCM, Jeshi la Polisi limeamua kuwatisha na kulumbana na viongozi wa Chadema wanaolilia tu sheria ifanye kazi! Cha kusikitisha ni kuwa Watanzania mfano wa Ribosome wako wengi na kama walivyokuwa wafuasi wa dola za kifashisti kama ya Hitler, dawa pekee ni mapinduzi.
 
Mag3 huna hoja, kama ni hodari sana pinduwa basi, unangoja nini?

Bado una fikra za kizamani sana. Kuna wabunge wa CCM wameshawahi kushambuliwa, mwisho jana tu kaibiwa mmoja kwa gun point.
 
Hata jeshi la polisi linahitaji ukombozi, Kuna siku Dr Slaa atawakomboa, wao wampe ushirikiano tu, ile waje kula mema ya nchi.
 
mkuu ni lazima tumuenzi mwl nyerere kwa kupinga uvunjifu wa amani kwani hawa wapare na wachaga wanataka watuletee vita sisi tulozoea amani, alafu kuna muhuni mmoja eti huwa anasema " ni heri vita inayopigana kutafuta haki kulio amani inayopumbaza na kuzalilisha utu" hivi hii kauli si ya vita vita, inamana ni bora tz iwe kama somalia au sudani?
Kushabikia CDM ni kinyume na maneno matakatifu.
Kama ulisikiliza bunge wiki liyopita wale ndio waliokuwa wanatoa maneno ya uchochezi, Mfano Mh. mmoja alisema '"Nilitaka kumpiga Ekerenge ngumi, lakili niliacha tu kwa kuwa mimi ni mlokole" Mbona huyu hajakamatwa kwa kosa la kutishia kumsababishia Ofisa mkuu wa serikali maumivu, aje akamatwe huyo anayedai Mheshimiwa mbunge aliyeumizwa atibiwe? Tutumie vichwa vyetu vizuri.
 
Watanzania hatutaki vita bali tunataka amani so kwa vitendo vya slaa vya uvunjifu wa amani hatuwezi kuvumilia hata kidogo na ninawapongeza polisi kwa uwajibikaji wao kwani ni lazima tuitunze amani kwa gharama yeyote.

Bila haki hakuna amani.

Hivi wale polisi wa Misri na Tunisia hatimaye waliishia wapi?
 
CCM haiwezi kuporomoka kamwe. Ni chama pekee hapa Tanzania chenye resources za kutosha kuanzia human as well as capital/financial.

CCM ina watu makini na ambao hawayumbishwi ovyo. Ndio maana umeona mpakaa maamuzi yoyote yachukuliwe, ni lazima tafakuri ya kina ya jambo husika ifanywe.

CCM kamwe haiwezi kuporomoka wa kelele za wapinzani, CCM cha kuiangusha labda kuwepo conflict within the part. So far ndani ya CCM hali ni shwari.

wewe gamba umefliska kimawazo kwa mda huu hakuna conflict ndani magamba?labda unasubir mpaka watu wapigane?acha uzushi soma alama za nyakati.
 
police wanapewa siku 7 waonyeshe haki wanaona amani yao iko hatarini...watu wamekatwa mapanga hawana amani wala hawajajigusa it can only happen in bongo
 
Wanasema wameshindwa kumkamata baada ya kutoweka kinyemela na kukimbilia DSM??!! Hivi huko DSM hakuna jeshi la polisi?? Au wanapima upepo wa kauli yao?? Kama jibu ni ndiyo basi jibu wameshalipata.

Lakini haiingii akilini jeshi la polisi kukomaa na mtu aliyewakumbusha majukuku yao, badala ya kuwakamata majambazi yaliyowajeruhi wale wabunge.

Sijui bwana labda ndo sababu za kiintelijensia. Tusubiri tuone, ninachojua mimi Dr yupo wala hajakimbia.
 
Tanzania ya leo imeporwa na wenye meno, na inatetewa na wenye moyo kama dk. Slaa! Hivi kazi ya polis ni kutetea wahalifu au kutetea wanaokosoa wahalifu? Watanzania tunayo kazi moja tu mbele yetu, nayo ni kuhakikisha ccm hairudi madarakani 2015. Tumechoka kuibiwa twiga wetu na polisi kuwalinda hawa wezi. Its over!!
 
kweli intelijensia ya polisi haifanyi kazi kama alitoroka kwanini hawakujua maana huwa wanadai wanatambua kosa kabla halija fanyika, kwa dr .....slaa intelijensia haikufanya kazi? Ukifuatilia filosofia za elimu zilizotolewa na plato na aristotle utagundua kuwa hawa jamaa walikuwa wanaona mbali sana walisema "walio na akili za wastani ndiyo wanatakiwa kujiunga na jeshi" kwahiyo tusishangae wanayo yafanya hawa polis wetu maana akili haziwatoshi kabisa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,.
 
Kumkamata dr.slaa kwa kusema ukweli sawa,,,,lakn kuwakamata wezi na mafisadi wanaoiibia nchi siyo sawa!!!! kweli polisi wetu wa ajabu kweli kweli

Labda niwaulize polisi; je baada ya boss wao kuamua kulivunja baraza la mawaziri. bado hoja na sababu ya kumkamata iko valid kweli. Kwa sababu Dr.alitoa altmatum kwa mawazir mafisad kuwajibishwa polisi wakasema ni mchochez watamkamata..vp sasa baada ya maamuz jana kwa nn wasijitokeze na kumuomba msamaha bcoz kile alichokitolea tamko kimefanyika. Polisi Tanzania mnatushangaza wengi.
 
Back
Top Bottom