Kwa taarifa yenu Jerry Murro yupo TBC1,hawezi kukaa sehemu kusipo na maslahi pia kwenye vuguvugu la ukabilaNasikia yuko StarTV, kule ITV alikuwa anafanya kwa makubaliano maalumu.
Naongeza-ukabila,ujinga,uzalilishaji,uonevu na upuuzi ndio haswa sera ya ITVITV majungu, fitina, uchawi vimetawala sana pale.
Misanya yupo UDSM anafundishaWhat of Misanya Dismas Bingi. Namkumbika sana huyu jamaa na wimbo wake wa asubuhi wa yeke yeke ua yeke yeke
Naomba ufafanuzi wa hiyo red kabla sijatafuta kamba.
ina maana mabosi wa ITV hawana elimu eeh
labda 'ameritaya'Nyaisanga nae kilimsibu nini? Mbona katoweka kimya kimya?
What of Misanya Dismas Bingi. Namkumbika sana huyu jamaa na wimbo wake wa asubuhi wa yeke yeke ua yeke yeke
Yuko TBC na anaanza kutangaza kipindi fulani jina nimelisahu kitakuwa kinarushwa J3-Ijumaa saa 4:00-4:30 PM
du ila nimestuka kuwa jerry kawatuma watu ili afagiliwe nasi kama ulikuwa unatujaribu ujue kuwa tunakufagilia ile mbaya......................ila usinunuliwe na mafisadi kwani tbc ni rahisi zaidi kununuliwa kuliko mahala pengine...........wapo wengi walikuwa kama wewe na sasa wamewekwa mfukoniHiyo mida TBC1 kunakua na habari za usiku na kinatangazwa na yule jamaa mungine yule anaitwa Sudi Mnete kitu kama hicho. Nae alikua hakosi kisutu pale kuvizia akina Liyumba na wenzake..
Jery atakua na kipindi flan cha kizushi subirini kidogo