Jerry Muro: From ITV to TBC1

Jana katemewa mate na msaidizi wa balozi wa Canada akiwa anafuatilia newz kituo cha polisi ambako huyo balozi alifikishwa kwa kumtemea mate traffic!
 
Thread inasema Jerry Murro from ITV to TBC1, sasa mjadala wenu mbona unakwenda kinyume?
 
Pale ITV kikwazo ni GRACE MHAVILLE huyu ndo anabana kila kitu, ana influence kubwa sana, Mzee alipita/alimega pale so kashika kila kitu yule mama, Mpaka hapatani na mtoto wa MZEE mwenye mali. mwanamke ana roho mbaya mpaka ndugu zake hawampendi. So pale kuwa pazuri mpaka yule mwanamke aondoke. hawa Vijana nafasi yao ya ku shine pale ni ya wasi wasi.
 
Jerr Muro Si alipewa Tuzo na Wamarekani,.pia akapewa nafasi miezi sita kwenda Kwa mjaluo Obama, Course' kituko wakambania pale Itv'nafasi yake'yake Dongo akamaindi akapiga mzigo'chini.jamaa Mhando Tido akaona wenzake Itv wamechezea Lulu.akamkaribisha Tbc.habari ndio hiyo.
 
Pale ITV kikwazo ni GRACE MHAVILLE huyu ndo anabana kila kitu, ana influence kubwa sana, Mzee alipita/alimega pale so kashika kila kitu yule mama, Mpaka hapatani na mtoto wa MZEE mwenye mali. mwanamke ana roho mbaya mpaka ndugu zake hawampendi. So pale kuwa pazuri mpaka yule mwanamke aondoke. hawa Vijana nafasi yao ya ku shine pale ni ya wasi wasi.

GRACE MHAVILLE ndo nani mkuu,nieleweshe kidogo hapa
 
mkurugenzi

Anaitwa Joyce Mhaville...

Turudi kwenye mada, mimi nadhani Jerry kama mtanzania mwingine yeyote ana haki ya kutafuta kazi kwenye mashiko... nampongeza kwa kusepa joto la kijiwe

Kuhusu yeye kutemewa mate, hivi sheria inasemaje? na viongozi wetu wansemaje kuhusu hili, ningetegemea hata wanaharakati kulaani, wameshalaani?
 
Jerry Muro yuko TBC1 anatangaza kipindi cha USIKU WA HABARI kinaanza saa nne kamili usiku hadi saa nne na nusu usiku j3 hadi ijumaa na jana tu katemewa mate na mzungu raia wa canada
 
Naye ni Celebrity?

Kwani celebrity kwako ina maana gani? au unataka celebrity ni wawe watot wa kishua kama mimi ,tunao kutana kwenye maparty na kule clubs na kwasababu tunaendesha Vogue za baba zetu na tunajulikana kwnye hizo party ndio sisi ma celebrity? kama una maana hiyo na dhani ume kosea !

Au labda ujaribu ku google, au ni ku rahisishie

A celebrity (or celeb) is a person who is famously recognized in a society or culture.
Generally speaking, a celebrity is someone who gets media attention and most frequently has an [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Extraversion_and_introversion"]extroverted[/ame] personality. A celebrity that shies away from the public eye or keeps a very separate private life is called a reluctant celebrity.
 
najuta kuoa mapema kwani ningemwoa joyce mhavile kwani mpaka sasa hajaolewa hana mtoto ,eti ni chakula ya mzee,kama ni chakula ya mzee si amsaidie sasa mbona kila mtu anatimka ITV ,ukiuliza joyce mhavile na hao waliopo wanalalamika jamani mpaka unawaonea huruma jamani kama mna uwezo TBC ipo kwa ajili yenu ile ni tv ya taifa na mna kodi zenu pale .haina sababu ya kunyanyasika kisa joyce mhavile .kwani tatizo la joyce mhavile ni ndugu zangu nini?

kwani anawasiwasi hata kwa watangazaji wa kiume kuwa mengi anaweza akawac heki?kwani mengi ni muanglikan?kwa wanawake inajulikana kwani hata janeth sosthenes mwenda aliachishwa kazi na joyce mhavile kisa alikuwa anachati na mwenyekiti kama wanavyomwita wenyewe.
nasikia joyce anamchukia hata demu mpya wa boss wake sasa yeye anaweza akajilinganisha na yule demu ?

mbona mengi anasifika kwa kuchukua mademu wazuri cheki ritta na huyu mwingine lilian kwa joyce nadhani ni uchawi tehe tehe .
jamani TBC IPO KWA AJILI YEN U NI TELEVISION YE TAIFA ,BIG UP JERRY UPO KWENYE SAFE HAND,CHAPA KAZI MZEE
 
Kwani celebrity kwako ina maana gani? au unataka celebrity ni wawe watot wa kishua kama mimi ,tunao kutana kwenye maparty na kule clubs na kwasababu tunaendesha Vogue za baba zetu na tunajulikana kwnye hizo party ndio sisi ma celebrity? kama una maana hiyo na dhani ume kosea !

Au labda ujaribu ku google, au ni ku rahisishie

A celebrity (or celeb) is a person who is famously recognized in a society or culture.
Generally speaking, a celebrity is someone who gets media attention and most frequently has an extroverted personality. A celebrity that shies away from the public eye or keeps a very separate private life is called a reluctant celebrity.

Mtoto wa kishua, nina ombi binafsi kuhusu hiyo signatue yako, naomba kama unaweza ibadilishe maana inaniumia sana mwenzako! Nafahamu wew eni mstaarab kwahiyo utaniondolea maumivu, tanzania ni motherland mazee
 
LA QUIERO MUCHO LAS HOMBE, PORQUE JERRY ES BIEN EN TRABAJARO_I like jerr coz ni mzuri kny kazi yake, PERO
 
LA QUIERO MUCHO LAS HOMBE, PORQUE JERRY ES BIEN EN TRABAJARO_I like jerr coz ni mzuri kny kazi yake, PERO YO NO MIRRAR CON ELA POR MUCHO TIEMPO! bt havent cn him 4 a long time!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom