Jerry Muro: From ITV to TBC1

Sudi Mnette pia anaenda TBC baada ya kumaliza attachment yake DW. Nadhani kuna tatizo kubwa hapo ITV.
 
What of Misanya Dismas Bingi. Namkumbika sana huyu jamaa na wimbo wake wa asubuhi wa yeke yeke ua yeke yeke

kaka shavu udsm as an asst lect....sociology ( sijui kama amepanda kuwa full lect...)
 
Hongera Jerry kwa kurudi TBC.

Kwa wale waliosahau, huyu jamaa alianza kufanya kazi za media pale ATN (mbezi) akiwa anaongoza kipindi cha vijana. Baadae alihamia TVT huko alikuwa na kipindi flani (nimesahu jina) ila alikuwa anasafiri sana mikoani na kufanya mahojiano na watu mbali mbali kuhusiana na maada mbali mbali. Kisha alihamia ITV na kuendelea kufanya kazi yake kwa ufanisi mzuri zaidi. Basi ni vyema kama kapata tena chance ya kurudi TBC ambako nadhani atapata nafasi zaidi na zaidi ya kujiendeleza.
 
Huyo mshikaji alishaandikwa kuwa kale kadada Kibosile wao kalipanga kungoa kibarua mara baada ya kupata ofa ya USAID ka scholarship ka wiki kadhaa kisa aliwapiga bao hakuwashirikisha wakajaribu kumwekea zengwe wakashindwa naona aliporudi wakampiga stop
 
du nasie wabongo huwa tuna nasikia nasikia kibao hahahah
nimemuona kwenye Tangazo TBC1 atakuwa na vipindi kuanzia jtatu mpaka Ijumaa sijakamata ni kipindi gani
kwa mie binafsi kazi yake naikubali
keep it up J M
 
Yuko TBC na anaanza kutangaza kipindi fulani jina nimelisahu kitakuwa kinarushwa J3-Ijumaa saa 4:00-4:30 PM
 
Yuko TBC na anaanza kutangaza kipindi fulani jina nimelisahu kitakuwa kinarushwa J3-Ijumaa saa 4:00-4:30 PM

Hiyo mida TBC1 kunakua na habari za usiku na kinatangazwa na yule jamaa mungine yule anaitwa Sudi Mnete kitu kama hicho. Nae alikua hakosi kisutu pale kuvizia akina Liyumba na wenzake..
Jery atakua na kipindi flan cha kizushi subirini kidogo
 
Hiyo mida TBC1 kunakua na habari za usiku na kinatangazwa na yule jamaa mungine yule anaitwa Sudi Mnete kitu kama hicho. Nae alikua hakosi kisutu pale kuvizia akina Liyumba na wenzake..
Jery atakua na kipindi flan cha kizushi subirini kidogo
du ila nimestuka kuwa jerry kawatuma watu ili afagiliwe nasi kama ulikuwa unatujaribu ujue kuwa tunakufagilia ile mbaya......................ila usinunuliwe na mafisadi kwani tbc ni rahisi zaidi kununuliwa kuliko mahala pengine...........wapo wengi walikuwa kama wewe na sasa wamewekwa mfukoni
 
jerry chapa kazi kama kweli umefuata kazi na maslahi...............wakija wazushi kukununua chomoa na ondoka haraka tbc nasi tutakuombea msamaha kwa mzee mengi atakurudisha kaznini maana nae hana makuu...............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom