Sina hakika kama Jerry Katimuliwa, lakini siwezi kushangaa kwani IPP media haiwezi kukukaa na watangazaji au waandishi wazuri. Nadhani kuna matatizo sana pale.
Kwa muda mrefu hatumsikii uncle J (Julius Nyaisangah) sijui kuna mtu ana taarifa zake.
Kweli,Uncle J kitambo.
Tuna jua unaomba kazi Ikulu,na kwa Mengi nako unataka?Kama mkataba wake wa kazi umeisha je ?
Huyo uncle J sidio alakuwa ana pewa pombe hapo na Mike mochiwa anamrusha hewani utafikiri kipindi cha kutuma salamu...Bongo watu wana njaa hadi ya bia duh!Yeah huyu nae alipigwa kadi nyekundu na huyu mama week end iwa tunakuwa nae Mary land pale Mwenge.