Jerry muro alitimuliwa itv?

Kimori

JF-Expert Member
May 26, 2008
213
25
Wana JF nimepata tetesi yule mtangazji wa ITV wamemtimua tena kazi baada ya kurudi kutoka MArekani. Je kuna anaejua ukweli wa hili?
 
Yeah hata mm nimesikia sana tetesi hizi kuna kitu Mengi hakufrahishwa nacho.
 
There must be a problem at IPP MEDIA. WHY ALL POTENTIAL PRESENTERS/JOURNALISTS ARE CHASED OUT IN THAT WAY?????? DOUBLE G WATCH OUT..........
 
Sina hakika kama Jerry Katimuliwa, lakini siwezi kushangaa kwani IPP media haiwezi kukukaa na watangazaji au waandishi wazuri. Nadhani kuna matatizo sana pale.

Kwa muda mrefu hatumsikii uncle J (Julius Nyaisangah) sijui kuna mtu ana taarifa zake.
 
Sina hakika kama Jerry Katimuliwa, lakini siwezi kushangaa kwani IPP media haiwezi kukukaa na watangazaji au waandishi wazuri. Nadhani kuna matatizo sana pale.

Kwa muda mrefu hatumsikii uncle J (Julius Nyaisangah) sijui kuna mtu ana taarifa zake.

Kweli,Uncle J kitambo.
 
Duh! Jerry Muro ametimuliwa? dah! jamaa mbona alikuwa mtangazaji mzuri sana,pia watu wengi walikuwa wanampenda sana kwa jinsi alivyokuwa ana ripoti habari zake kwa umakini wa hali ya juu....Kwa ili IPP wamefulia.
 
Yeah huyu nae alipigwa kadi nyekundu na huyu mama week end iwa tunakuwa nae Mary land pale Mwenge.
Huyo uncle J sidio alakuwa ana pewa pombe hapo na Mike mochiwa anamrusha hewani utafikiri kipindi cha kutuma salamu...Bongo watu wana njaa hadi ya bia duh!
 
tatizo la nchi waajiri hawajui hawathamini kabisa talents,wao wanafikiri waajiriwa wote ni labours,na wananjaa,hawajui maana ya talents kabisa.
 
Mengi ajibu hoja ya FISADI PAPA, Rostam AZIZ, kwamba maslahi ya wafanyakazi wake yakoje?. Jerry Mullo ni msomi, na hata unaweza ukampima kwa report zake, nazani IPP kuna tatizo, JF hebu mmoja wetu atusaidie ktk hili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom