ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,063
- 49,749
"Leo nataka nikupe mfano mdogo miaka kadhaa nyuma sisi Tanzania tulikuwa sawa na Singapore au Malaysia, na hapa tulipo tuna kila kitu lakini unajua kinachotuumiza ni nini?. Mfano hili suala la bandari linakuwa gumu kueleweka ni kwa sababu tumeingiza akili na mawazo yenye fitna na chuki ndani yake"
"Lakini kinachopiganiwa na Rais Samia ni vyanzo vipya vya kodi, maeneo mapya ya kupata fedha ili tusiendelee kuwekewa tozo kwenye maeneo mengine.”
Amesema Jerry Muro, aliyewahi kuwa Mkuu wa wilaya wakati akizungumza kwenye Kipindi cha BUSATI cha TBC FM.
===
Naunga mkono hoja ya Jerry, Rais anapigania pesa nyingi na Ustawi zaidi ila kuna majitu yenye midomo midomo yasiyo na mchango wala tija yeyote Kwa Nchi yanapotosha Watu.