Mwangaza
Senior Member
- Feb 26, 2008
- 198
- 64
Mdau Je wajua kwamba JK si makini kabisa....
Mdau hebu fungua hii video uone mwenyewe, Kumbe kweli kabisa huyu mkuu wa chama chao hayupo makini kabisa, hafai kabisa kuongoza nnchi.
Ndio maana nnchi imeenda ovyo ovyo, na tumeingia kwenye mikataba ya ajabu ajabu ambayo hata mtu wa elimu ya form4 tu hawezi kukubali.
http://www.youtube.com/watch?v=78Nljoepm4E