Je wajue, kwamba jk.....!!

Mwangaza

Senior Member
Feb 26, 2008
198
64
Mdau Je wajua kwamba JK si makini kabisa....

Mdau hebu fungua hii video uone mwenyewe, Kumbe kweli kabisa huyu mkuu wa chama chao hayupo makini kabisa, hafai kabisa kuongoza nnchi.
Ndio maana nnchi imeenda ovyo ovyo, na tumeingia kwenye mikataba ya ajabu ajabu ambayo hata mtu wa elimu ya form4 tu hawezi kukubali.


http://www.youtube.com/watch?v=78Nljoepm4E
 
Kwani kuna kitu chenye shule alichoweza fanya? ye kuchekacheka tu, wala hajui matatizo ya nchi hii
 
katika mambo ya uchumi hana ki2 anapelekwa tu na wasaidizi wake wajanja wajanja..
Ila katika
starehe,
musiki
na kutalii

jamani hapo tumpe hongera na tumkubali kwa hayo
 
Duhh! Hii ni kali ya mwaka ... kwa nini Chadema isitumie documentary hii kwenye kampeni zake za Urais, Udiwani na Ubunge? Naona imenitibua moyo sana mie.... Imenigusa sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom