Elections 2010 Je, una hati ya kupiga kura 2010?

Asante Mzee, kwa kunielewesha. Tatizo lilikuwa pale wanaposema CCM imenunua shahada za wapiga kura. Sasa nimekupata. Kuhusu kujiandikisha itategemea kama nitakuwa huko wakati wa uchaguzi, ila kwa sasa kujiandikisha ni kupoteza muda tu unless waseme na sisi huku ughaibuni tunapewa haki ya kuchagua viongozi which is unthinkable kwa sasa kwa CCM.
 
Katiba imekupa haki hiyo huhitaji kupewa mara mbili, katiba ni mama wa sheria zote kama sheria nyingine inapingana na katiba unaweza kufungua kesi kudai haki hiyo. Kura yako moja na ya mwenzio na mwenzio ni muhimu sana kuhakukusha kuwa mabadiliko yanakuja ambayo yatasababisha kuwa tuna mahakama zisizoachia wauwaji ambao hata kwenye TV walisisitiza kuwa wameuwa na kusisitiza kuwawasifundishwe kazi.
 
Back
Top Bottom