Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,201
- 8,284
Wewe ni kama wakenya fulani nilisoma nao, mtu unakula ada yote bila kufikiria kitakachokupata!A level Second master alikuwa na tabia ya kula ada za wanafunzi bila kutoa risit, nilichofanya sikutoa ada na nikamsingizia nimelipa... Nikaitafuna na nikakomaa hadi mwisho..
Hapa mwajiri kanipa ada 2 M na nimeitafuna, ninamawazo na chuo ndio kinakaribia kufunguliwa
Ha ha ha kidudu mtu weweMimi nilishakula Ada ya gvt nilipewa nilipe ya mwaka nkalipa ya nusu mwaka 35,000 .Ilobaki nkala na term ilipoisha nkaomba kuhamishwa shule coz ilikua mbali na home shule Nganza home Tanga!!!!
Chuo nakumbuka tukashawishiana na kaka angu tule ada yake (hapo yeye hana boom mwenzie nnalo) were kufika mitihani ikabidi tupige home kusema ameibiwa, basi wakatuma.Ila I felt guilty na sikurudia teba
Hata kidogo nlikua sio mzuralaji na ule mji sikuupendaUlipohama Shule ikabidi wakalipe upya tu. Hahha! Vipi vijana wa Nsumba,hawajakumendeaga ulipokua Nganza?
bashite weweNilikula mzigo wa form six mkwawa mpaka Leo sijalipa na vyeti sijachukua maana sekta binafsi nilipo UHAKIKI hauna nafasi na kama mtu haamini nilisoma form six basi anijibu nilifikaje chuo .
mzee wangu mimi alikua ananipa ada then ananisindikiza imagine toka mwanza huko mpaka morogoro njia nzima anasoma risala mpaka kuna kipindi nilitoa pesa yote kwenye begi nikamtupia basi tu abiria wakatusihi niichukue,, mzee alikua na risala mbaya yani anakomaa hii pesa natoa kama mkopo ukipata kazi lazima kila shilingi izae shilingi.. sasa ole wako usimjibu wakati anakusomea alikua mpaka ananikaba shati eti nisaini kwenye notebook yake niji commit kwamba hiyo pesa ntairudisha,,
Hii pesa ya Ada sijuwi ina nini, nilikula Ada ya form four.. 40,000 Mwaka 2005, nilikosa hela kabisa kipindi chwa Mwaka mzima mpaka nikamueleza Bro ukweli ndio akaokoa jahazi...Hii pesa ya Ada huwa ina nini jaman? Bora kula rushwa lakini sio Ada