Je, ulishawahi kula ada ya shule/chuo? Tuambie uliirudishaje

A level Second master alikuwa na tabia ya kula ada za wanafunzi bila kutoa risit, nilichofanya sikutoa ada na nikamsingizia nimelipa... Nikaitafuna na nikakomaa hadi mwisho..


Hapa mwajiri kanipa ada 2 M na nimeitafuna, ninamawazo na chuo ndio kinakaribia kufunguliwa
 
A level Second master alikuwa na tabia ya kula ada za wanafunzi bila kutoa risit, nilichofanya sikutoa ada na nikamsingizia nimelipa... Nikaitafuna na nikakomaa hadi mwisho..


Hapa mwajiri kanipa ada 2 M na nimeitafuna, ninamawazo na chuo ndio kinakaribia kufunguliwa
Wewe ni kama wakenya fulani nilisoma nao, mtu unakula ada yote bila kufikiria kitakachokupata!
 
Miye nakusihi tu wewe mwanafunzi uliyopo masomoni mda huu na unasoma ujumbe huu

Huu mda ndio wanafunzi wengi mnakula ada yani pale unapoanza semester ya kwanza mzazi kajitutumua uko kukupa uje kulipa ada matokeo yake

Umeenda salon, umenda shopping ya nguo, Mala sm nzuri Sijui viatu vizuri lengo eti wenzako wakuone ujapauka

Haya kila week end unataka club, kama siyo mpenzi wa club unataka chips kuku hey ebu tulia

Hayo ni maisha ya mpito hakuna mtu aliyewahi pesa Zawadi ya kuwa na nguo nzuri sm nzuri kula vizuri au kwenda club tulia nenda kalipe ada hapo upo masomoni

Hakikisha tu ratiba ya chakula ipo vizuri, nguo za simple zipo ukijisikia unabadilisha, kuwa na smart phone yako simple tu ya laki mbili na nusu au mbili inakutosha nimeshauli nguo simple sim simple na maana wewe ni mwana chuo kwaiyo haipendezi ukawa rafu rafu, vile vile dunia imebadilika smart phone kwa wewe mwanachuo muhimu

[HASHTAG]#USILEADALIPAADABATAZIPO[/HASHTAG]
 
Mimi nilishakula Ada ya gvt nilipewa nilipe ya mwaka nkalipa ya nusu mwaka 35,000 .Ilobaki nkala na term ilipoisha nkaomba kuhamishwa shule coz ilikua mbali na home shule Nganza home Tanga!!!!
Chuo nakumbuka tukashawishiana na kaka angu tule ada yake (hapo yeye hana boom mwenzie nnalo) were kufika mitihani ikabidi tupige home kusema ameibiwa, basi wakatuma.Ila I felt guilty na sikurudia teba
Ha ha ha kidudu mtu wewe
 
Mie nilikula Ada ya Chuo pale NIT
Aisee tukagomewa kupewa vyeti,sasa wakati nipo field na nilipomaliza field nikatakiwa kuajiriwa sehem ile ile.
Wakaniajiri kwa miadi kwamba nipeleke vyeti,na kwa vile nipo Zanzibar nikasema nitawaletea.Na kwa vile waliniamini Tangu mwanzo na nilikabidhiwa na chuo pale,basi mpaka naacha kazi miaka 8 sikuulizwa tena.

Ila natarajia nimtafute yule Mama wa pale Chuo ili nimpe pesa yake ,maana sasa tangu 2001 mpaka leo.Aisee.
Mungu nisamehe,ila nitalipa nikija,
Ubarikiwe mleta mada kwa kutukumbusha,maana hizi Dhambi nyingine hizi tunazihalalish
a
 
Nakumbuka niko ndanda boyz form 5 ...nilikula ada zote ...sasa mwisho wa siku namaliza shule kuchukua living si nikamsakizia head master aliyepita ...kuwa nilimpa pesa ....nawakati maskin Mzee wawatu alikufa ..dada head master anaitwa lulukila akanielewa.lakin nilisijgizia marehemu
 
Nyie mnaokula Ada mnawaliza Sana wazazi wenu sisi tuliopo huku tunashudia mzazi tena masikini kabisa Mtoto wake kala Ada halafu watu mnajisifia humu. Kupenda mambo makubwa Na kufuata Mkumbo kunawaponza. Ishini kulingana Na uwezo WA wazazi wenu
 
A level yote iyo laki na arobaini nimelipa nipo 3rd year uni nikachukua na cheti, wange ziondoa tu hizo ada ndogo ndogo
 
mzee wangu mimi alikua ananipa ada then ananisindikiza imagine toka mwanza huko mpaka morogoro njia nzima anasoma risala mpaka kuna kipindi nilitoa pesa yote kwenye begi nikamtupia basi tu abiria wakatusihi niichukue,, mzee alikua na risala mbaya yani anakomaa hii pesa natoa kama mkopo ukipata kazi lazima kila shilingi izae shilingi.. sasa ole wako usimjibu wakati anakusomea alikua mpaka ananikaba shati eti nisaini kwenye notebook yake niji commit kwamba hiyo pesa ntairudisha,,
 
Hii pesa ya Ada sijuwi ina nini, nilikula Ada ya form four.. 40,000 Mwaka 2005, nilikosa hela kabisa kipindi chwa Mwaka mzima mpaka nikamueleza Bro ukweli ndio akaokoa jahazi...Hii pesa ya Ada huwa ina nini jaman? Bora kula rushwa lakini sio Ada

Mkutane hapa mnataka kwenda wapi?

Ada hailiwi.......!!!!
 
pesa ya ada huwa haiwaachi salama, wengi wamefumuliwa rinda ajili ya hiyo kitu
 
Me Nilikula Ada Kwa Kauli Mbiu Kuwa Kama Nikifeli Bas Na Kama Nikifaulu Ntamwambia Mdingi Kuwa Nililipa Twit Fee ,, Ebwana Nikapga Vzur Sana Cku Chuo Wanataka Vyeti Nikaenda Kuchukua Nikakuta Mmama Ambae Anatoa Vyet Najuana Nae Vizur Nikamwambia Mama Me Nna Ela Nusu Nikampa Akanipa Chet Bila Leaving,,, Ila Ilinisaidia Sana Kipindi Hicho Cjilaumu Kwa Nilichokifanya KASULU SEC
 
Ilkuwa mwaka 2009 npo form 3 nilkuwa ada lak 3 ili niend kw Madida(afrk kusin) kusak life,nlifanikiw kufk lkn kumbe nlifka kpnd kbaya cha maandaliz y world cup kulkuw n msako wa htr,nlkamatw nkarudishw om,nikashndw kumwangalia mzee uson,ss iv napamban na vyum vy gerej
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom