mzee wangu mimi alikua ananipa ada then ananisindikiza imagine toka mwanza huko mpaka morogoro njia nzima anasoma risala mpaka kuna kipindi nilitoa pesa yote kwenye begi nikamtupia basi tu abiria wakatusihi niichukue,, mzee alikua na risala mbaya yani anakomaa hii pesa natoa kama mkopo ukipata kazi lazima kila shilingi izae shilingi.. sasa ole wako usimjibu wakati anakusomea alikua mpaka ananikaba shati eti nisaini kwenye notebook yake niji commit kwamba hiyo pesa ntairudisha,,
Vyeti vya Mkwawa vilipelekwa Ifunda na huko Ifunda ofisi iliyokuwa inahifadhi vyeti iliungua moto na vyeti viliteketea kwahiyo cheti cha form six huna.Nilikula mzigo wa form six mkwawa mpaka Leo sijalipa na vyeti sijachukua maana sekta binafsi nilipo UHAKIKI hauna nafasi na kama mtu haamini nilisoma form six basi anijibu nilifikaje chuo .
Jamani hela ya ada ni tamu sana
Sema ukishaila,huwa inakuwaga ngumu kuirudisha,,unaweza kujuta
Mimi nlishawahi kutumbua laki tano ya ada ya chuo ya semester ya pili
Niliitumbua kwa shopping tu yanii
Sema sasa nilijuta jinsi ya kuilipa kipindi cha mitihani kilipofika
Thanx to "my papuchi jamani"
Loooooooh inasaidiaga sometime
Jamani msile ada awamu hii ya tano mtatumbuliwa View attachment 422057
Duuhhhh....mwanangu mie ndio nilikuwa najiuliza nikienda mkwawa naanzia wapi kuuliza chet cha form 6 graduate wa 1996.....wavivu wa fikra weshageuza shule kuwa university na wamepoteza na kuharibu historia za maisha ya watu.Vyeti vya Mkwawa vilipelekwa Ifunda na huko Ifunda ofisi iliyokuwa inahifadhi vyeti iliungua moto na vyeti viliteketea kwahiyo cheti cha form six huna.
Cheti changu cha kumaliza mkwawa nilichukua Ifunda 2007.
Ila sasa hivi unamshukuru kwa kufanya hivyo ? Kwani baada ya yote hayo wewe kumaliza masomo ametaka hata sh tano yako ?mzee wangu mimi alikua ananipa ada then ananisindikiza imagine toka mwanza huko mpaka morogoro njia nzima anasoma risala mpaka kuna kipindi nilitoa pesa yote kwenye begi nikamtupia basi tu abiria wakatusihi niichukue,, mzee alikua na risala mbaya yani anakomaa hii pesa natoa kama mkopo ukipata kazi lazima kila shilingi izae shilingi.. sasa ole wako usimjibu wakati anakusomea alikua mpaka ananikaba shati eti nisaini kwenye notebook yake niji commit kwamba hiyo pesa ntairudisha,,
Walaa baba neno lake kuu ilikuwa mshike sana Mungu na elimu, amemaliza. Ada alikuwa anamkabidhi mama , mama ndio anakupa ila kabla ya kupewa unawekwa chini unapewa mausia ya kutosha.Halafu risala iwe ya Mzee wa Kijaluo. Amefunga tai kuubwa huku Bi. Mkubwa akikukazia macho...!!
Hebu jaribu utupe feedbackJamani hela ya ada ni tamu sana
Sema ukishaila,huwa inakuwaga ngumu kuirudisha,,unaweza kujuta
Mimi nlishawahi kutumbua laki tano ya ada ya chuo ya semester ya pili
Niliitumbua kwa shopping tu yanii
Sema sasa nilijuta jinsi ya kuilipa kipindi cha mitihani kilipofika
Thanx to "my papuchi jamani"
Loooooooh inasaidiaga sometime
Jamani msile ada awamu hii ya tano mtatumbuliwa View attachment 422057
wapi?? nilivopata kazi mara ya kwanza kabisa nilimpa kadi yangu nikamkumbushia akacheka sana sasa ubaya eti saa hizi akiniomba pesa anataka anirudishie eti hapendi vitu vya bure!! ila kiukweli alinifundisha sana maishaHahahah! Mkuu nimecheka sana,vipi ushamrudishia mzee hela yake? Vipi saini mlizotiliana?
Hahahahha walikuweza kabisaWengine tulikuwa tunapewa risiti tu
Ukauza mbunye ukarudishia ada. 'Shimo la hewa' ukaligeuza kitega uchumi.
Naona umerusha 'santakarawe' kidigitali. Na kama hiyo avatar yako ndiyo wewe halisi, mbona utawanasa wengi humu nami nikiwemo.
Ngoja niuze matikiti yangu afu nikutafute... nitakulisha madini unye utajiri.
-Kaveli-
Ulipohama Shule ikabidi wakalipe upya tu. Hahha! Vipi vijana wa Nsumba,hawajakumendeaga ulipokua Nganza?Mimi nilishakula Ada ya gvt nilipewa nilipe ya mwaka nkalipa ya nusu mwaka 35,000 .Ilobaki nkala na term ilipoisha nkaomba kuhamishwa shule coz ilikua mbali na home shule Nganza home Tanga!!!!
Chuo nakumbuka tukashawishiana na kaka angu tule ada yake (hapo yeye hana boom mwenzie nnalo) were kufika mitihani ikabidi tupige home kusema ameibiwa, basi wakatuma.Ila I felt guilty na sikurudia teba
Umeona eeeh yani maisha home hayaeleweki na bado unawadogo zako aiseee hauwezi kuthubutu kufanya hivyoMimi hata wazo la kula ada sijawahi kuwa nalo.
Wazee wangu wanavyofanya kazi ngumu hata huo uthubutu sikuwa nao.Ada yenyew ya kuungaunga.
Namshukuru Mungu huo utundu umenipita.