Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
nilikuwa napiga ball kinoma kila mtu alijua ntakwea pipa lkn baba alipenda nipige kitabu zaidi na nilimtii mzazi wangu.
Kwani sasa hivi humtii babako, Chimunguru?
Last edited by a moderator:
nilikuwa napiga ball kinoma kila mtu alijua ntakwea pipa lkn baba alipenda nipige kitabu zaidi na nilimtii mzazi wangu.
nilitamani kuwa dakitari lakn nilipoteza matumaini f6 baada ya kudanganywa na washikaji na kukimbilia uhasibu! ningefanyaje maoparasheni hapo muhimbili!
BT ! Mbona umenimaka, hadi nimekua mpole ?
Kioja ki-wapi ?
Nani asoyajua marinda hapa jamani ?
Kwani we wayajua marinda ya aina ngapi ?
Hadi uulize ni ya Sketi au ?
Hembu nitajie aina uzijuazo, then ndo namie nikujibu!
mi najua marinda ya nguo......
Sketi, na suruwali enzi zile zilikuwa na kijirinda kimoja cha kishkaji kila upande
kumbe.!! hongera yako banah..
mi nlitamani kuwa mfalme, sa sijui niahirishe au niendlee kustrugle maybe siku mambo yatajipa
Muone sasa ndoto zingne laana tuuNilipenda niwe Fundi wa kufumua Marinda.
Dah nilipenda sana kuwa DJ na mtangazaji....
ila nimeamini si kila ndoto hutimia
Ikawaje tena mama?nlitaman kuwa airhostess! lol
Maskin dj b52 kwenye one n two watu oyoooooo hahaaaa wewe inategemea ulikua na umri gan wakat unawaza hilo jambo
Nilipenda niwe Fundi wa kufumua Marinda.
me nilipenda sana nije kuwa trafiki wa treni ila ndoto yangu imepoteaaaa
beibe nasty unancheka....lol
napenda sana nataka niombe part time mahali niwe nawapa watu burudani
Wakati huo nilikuwa under 18
Mmmmmmh baana usontie uoga mieHivi beibe nasty unajua kama una kesi nzito ?