Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,820
- 4,572
Salaam ndugu zangu,
Matokeo ya Kidato cha nne yametoka leo. Kama ilivyo kawaida kila mwaka, pia takwimu za masomo ya Mwaka huu zinaonesha ufaulu unaongezeka.
Kwa upande wangu nimetazama nilikuwa interested na somo la Civics ambapo pia nimeona ufaulu umeongezeka kwa mwaka huu 2023 ukilinganisha na mwaka 2022. Tazama hapa chini:
Jedwali linaloonesha kupanda kwa ufaulu wa masomo ya Sayansi Jamii ikiwamo CivicsSwali na hoja yangu hapa, Je Somo hili linatosheleza kuwafanya wanafunzi waelewe misingi ya Uraia wa Nchi yetu? Somo hili linawaandaa kuwa viongozi au Wanasiasa baadaye?
Kwa mtazamo wangu naona hili ni somo la muhimu sana kuanza kuwaandaa madogo toka chini.
Bila kujenga misingi bora ya somo hili, ni ngumu kujenga future ya Wanasiasa wazuri. Matokeo yake kila siku tutapata viongozi wa kurithishana madaraka na Chawa wao kupewa vitengo.
Matokeo ya Kidato cha nne yametoka leo. Kama ilivyo kawaida kila mwaka, pia takwimu za masomo ya Mwaka huu zinaonesha ufaulu unaongezeka.
Kwa upande wangu nimetazama nilikuwa interested na somo la Civics ambapo pia nimeona ufaulu umeongezeka kwa mwaka huu 2023 ukilinganisha na mwaka 2022. Tazama hapa chini:
Jedwali linaloonesha kupanda kwa ufaulu wa masomo ya Sayansi Jamii ikiwamo Civics