Wadau ninakumbuka hotuba wa Mwalimu kuhusu nchi zisizo kusanya kodi, ambapo alitaja kuhusu ugiriki nk, na ukiangalia kwa makini nchi zinazo kabiliana na hatima hizo ni Spain Italia na Ureno bila kuicha Ugiriki, sasa Tanzania tukiendelea na hizi sera zetu za ufisadi hatuko mbali kufikia huko.