Je Nyerere alitabiri Greek Debt Crisis?

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,316
3,987
Wadau ninakumbuka hotuba wa Mwalimu kuhusu nchi zisizo kusanya kodi, ambapo alitaja kuhusu ugiriki nk, na ukiangalia kwa makini nchi zinazo kabiliana na hatima hizo ni Spain Italia na Ureno bila kuicha Ugiriki, sasa Tanzania tukiendelea na hizi sera zetu za ufisadi hatuko mbali kufikia huko.
 
Aliyoyatenda Mwalimu yanajulikana kma hamumtaki mwacheni apumzike kwa amani. Lakini bado ni kioo cha Watanzania take usitake.
 
Afufuliwe Nyerere kwa jina la Yesu.

Afufuliwe kwani amekufa? Nyerere bado ANAISHI, hayuko pamoja nasi tu lakini FIKRA zake bado ZINAISHI mioyoni mwa wazalendo. Sikiliza hotuba zake ulinganishe naza Shalobaro kisha uamue anaye ishi ni nani kati yao.
 
Wadau ninakumbuka hotuba wa Mwalimu kuhusu nchi zisizo kusanya kodi, ambapo alitaja kuhusu ugiriki nk, na ukiangalia kwa makini nchi zinazo kabiliana na hatima hizo ni Spain Italia na Ureno bila kuicha Ugiriki, sasa Tanzania tukiendelea na hizi sera zetu za ufisadi hatuko mbali kufikia huko.
sasa mfikie huko wapi?wakati ndipo mlipo?
 
Wadau ninakumbuka hotuba wa Mwalimu kuhusu nchi zisizo kusanya kodi, ambapo alitaja kuhusu ugiriki nk, na ukiangalia kwa makini nchi zinazo kabiliana na hatima hizo ni Spain Italia na Ureno bila kuicha Ugiriki, sasa Tanzania tukiendelea na hizi sera zetu za ufisadi hatuko mbali kufikia huko.

Yule Nyerere ilipaswa kuongoza nchi za mbele. Jamaa alikuwa yuko tofauti sana! Ugiriki wale viongozi wao wazembe, wanalipana kodi mapesa mengi kweli kama Tz!
 
Mtakatifu Faiza Foxy punguza wivu. Huyo mzee bado hajafikia daraja la utakatifu. Hawezi kukupata, wewe uko juu sana.

Hatuna kupeana hizo katika Uislaam.

"Enyi watu! Hakika Sisi Tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na Tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mcha Mungu [101]zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari." (Qur-aan, 49:13)

[101]Mchamungu ni Muumini anayejiepusha dhidi ya kila namna ya madhambi, anatenda amali zote njema ambazo Mwenyezi Mungu anamwamuru azifanye, na anamwogopa na kumpenda Mwenyezi Mungu.
 
Kwa kuongezea hapo angalia ujumbe wa mabango ya waandamanaji wa OCCUPY OAKLAND. Hayati JKN alisisitiza sana kwamba 'ubepari ni unyama'. Wabongo wengi hawatautambua unyama huu leo (wao wanasema Nyerere aliwaletea umaskini, aliwanyima nafasi ya kuwa naTV, nk) lakini katika kipindi kisichozidi miaka kumi ijayo wengi wataanza kumbuka.
 
Sasa utakatifu unatafutwa kwa nguvu.

Nyerere hahitaji kuwa mtakatifu kumpambanua na viongozi goigoi wala nchi.

Ni ukweli mchungu na hapana budi kuumeza, ...ni kama wasiopenda kukiri umahiri wa L. Messi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom