KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Mzee we nikaribishe tu, I'll "be have" myself..
haya bwana mkubwa, labda chrismas nitakukaribisha tuje kupiga mpunga kwa mkono home ! seriously.
Mzee we nikaribishe tu, I'll "be have" myself..
hivi kujikombakomba ndio nini ? ..?
Ijumaa ndiyo imeanza... Kada we nishtue tu mzee alimradi uko kwenye maeneo ya Joto maana hapa nilipo mida hiyo itakuwa kama Ncha ya Kaskazini!
Now it is really sinking low.......
Kama kawaida yenu mnataka kuanza kujaza thread na malumbano binafsi!
Keep keeping on!
Yellow and Green Plague! Better run...
muulize mccain atakuambia..... but koma kujikombakomba kwangu
yeye kauliza na mnachotakiwa ni kujibu kwamba anatumiwa au la ! na si vinginevyo ! na huo ni upuuzi kabisa mwafrika wa kike unaposema mtu anakuja kutoa vitisho wakati hamna chembe ya kitisho unachosema ! acheni tabia zenu hizo, either mjibu swali au mngeuchuna ! bi. senti 50 wee komaa nao !
..let me get my friday status on !
mwandishi katoa haya maneno haya hapa
"Jambo moja tulilokubaliana ni kuwa kuna mtu au kikundi cha watu kinamtumia. Namshauri tena apunguze kasi au achukue breki, siyo wote wanafurahia maandishi yake. Ni ushauri mwingine wa bure"
1.Je unaweza kutoa ufafanuzi wa kina,walikaa na nani kujadili na kukubaliana kuwa mwenye makala ya ka sungura anatumwa na watu?
2.a) Je mwandishi anavyodai anamshauri huyo anayemtuhumu kuwa apunguze kasi au achukue breki ana maana gani?
b) Kwenye kipengere hicho cha kumshauri katumia neno"Namshauri
tena" hilo neno TENA limebeba ujumbe gani,je aliwahi kumshauri kipindi cha nyuma au?
3. Je hivi vikiitwa vitisho tutakua tumekosea?au vitisho mpaka uone sehemu wameandika bunduki,au jela ndo uamini vitisho?
Kada Mpinzani,naheshimu sana maoni yako,ila jaribu kuheshimu maoni ya wengine pia,mambo kama "ujinga na upuuzi" uliyoyatumia dhidi ya members hayana busara,hapa kuna watu na heshima zao,njoo taratibu mkuu,hata kama unaguswa tengeneza hoja,sio unapinga tu ili mradi uonekane mpingaji,utakuwa huna tofauti na wale wanaodandia gari kwa mbele,namalizia kusema naheshimu sana comments zako.
Talk to the hand...................
ukishakua unaweza kuongea nami, kwa sasa kajikombe kwa visungura vya Lowasa
Jambo moja tulilokubaliana ni kuwa kuna mtu au kikundi cha watu kinamtumia. Namshauri tena apunguze kasi au achukue breki, siyo wote wanafurahia maandishi yake. Ni ushauri mwingine wa bure.
Takbiru Ala Walibalu
duh.. hujaitumia hiyo siku nyingi mzee...